https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi.
Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio...
Wakuu
Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi.
Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi.
Watu wa aina hii ni...
TAARIFA KWA UMMA
UTAMBULISHO WA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA HAKI NA MAENDELEO (CHAUMMA)
Dar es Salaam, 21 Mei 2025
Chama cha Haki na Maendeleo (CHAUMMA) kinapenda kuwataarifu wanachama wake, wapenzi wa chama, na umma kwa ujumla kuwa, katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichofanyika tarehe 10...
https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema;
"Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden.
Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa.
Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani...
https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY
Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza
malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
Naomba kutoa maoni yangu kuhusu mkutano wa CCM unaokwenda kufanyika hivi karibuni.
1. Ikiwapendeza naomba wachague mgombea mwingine wa Urais anayekubalika zaidi na wananchi. Hii itasaidia kutotumia nguvu na gharama kubwa wakati wa kampeni.
Lakini kuna shida gani akisimama mtu mwingine wa CCM...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa.
https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I
"Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda...
https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025.
Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu.
Siku hiyo kwa tambo na...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa.
https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.