mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu CRDB Bank

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  4. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

    Morogoro. Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi atoa Ushuhuda jinsi TBS ilivyomuhudumia kwa mara ya Kwanza

    Dkt.Marcus Alban Mkurugenzi wa Kusoma African Limited akitoa ushuhuda na uzoefu jinsi alivyopatiwa huduma na Shirika la Viwango (TBS) katika sherehe za kutoa leseni za kutumia alama ya ubora kwa wafanyabiashara hivi karibuni.
  7. JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kituo Mkurugenzi wa Rungwe ni kwa kushindwa kuwasimamia anaowaongoza

    Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi. Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake. Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya. Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
  8. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

    August 4, 2021, Dar es Salaam: Vodacom Tanzania announced today that Managing Director (MD), Hisham Hendi, has resigned with effect from 1 November 2021 having spent five years with the company, including two and half years as MD. Mr. Hendi will remain within the Vodafone Group of companies...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Makamu wa rais, Dkt Mpango akimpa Pole Mkurugenzi Mkuu wa Usalama Aliyefiwa na Kaka Yake

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdory Mpango amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa Diwani Athumani Msuya na kumpa pole kufuatia kifo cha Kakaye aitwaye Bisward Msuya kilichotokea Agosti 03, 2021
  10. JamiiForums Tanzania Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  11. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Kama mnavyoweza kukumbuka wanajamii forums kuna taarifa iliandikwa ktk jukwaa hili kuhusu Watumishi wa Halmashauri ya willaya ya Tunduru kuwanyanyasa walimu wapya. Kwamba, walimu waliokuwa na tofauti kidogo katika majina yao walilipishwa Shs 82,000/ kwa ushirikiano kati ya ofisi ya Utumishi na...
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Je, ni sahihi aichofanya Mkurugenzi wa Kasulu?

    Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12. Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  14. JamiiForums Tanzania SOS: Kaimu Mkurugenzi wa Bugando ujiuzulu kwa uzembe na mapuuza

    Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka. Mkurugenzi huyu akubali kuingizwa kwenye orodha ya wauwaji kwa sababu zifatazo:- 1. kama mwaka mmoja uliopita akikataa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani hubeba maono ya mkoa au jiji - ni RC, RAS au Mkurugenzi?

    Napata Wakati mgumu kujua kimfumo ni Kiongozi yupi anayebeba maono au vision nzima ya mkoa au jiji? Najiuliza kwa sababu juzi wameteuliwa wakuu wa Mikoa na niliamini wao ndio wasimamizi wa malengo, maono na mipango ya Mkoa. Kinyume chake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma pekee ndiye aliyetoa hotuba...
  17. JamiiForums Tanzania Moshi: Fedha zilizotengwa kununua Bastola ya Mkurugenzi kurejeshwa

    Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Juma Raibu ameagiza uongozi wa manispaa hiyo kurejesha Fedha kiasi cha Tsh.3.2 milioni zilizotengwa kwaajili ya kununua Bastola ya Mkurugenzi wa manispaa. ======= Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya...
  18. JamiiForums Tanzania Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TikTok ajiuzulu ilia apate muda wa kusoma vitabu

    Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi kujisomea vitabu na kuota ndoto nyingine.
  20. JamiiForums Tanzania Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

    RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣. Je, nini kiini cha mgogoro huo unaodaiwa kumalizwa na Makalla? UTANGULIZI: Songoro mnyonge ni Diwani wa CCM akitokea Mwananyamala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…