mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, tumezaliwa tukiwa tayari ni washindi

    TUSIKATE TAMAA. Ukijiona upo duniani basi jua tayari wewe ni mshindi,usiseme huwezi chochote.uwepo wako hapa duniani ni ishara tosha wewe umeshinda ndio maana uko hapa. Wakati baba alipomwaga maji ya uzazi yenye ujazo wa kijiko kimoja basi ujazo huo ulikuwa na seli zaidi ya milioni moja wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Billboard: Jinsi Diamond Platnumz alivyofanikiwa kuwa nyota mkubwa zaidi Tanzania

    Wakati Diamond Platnumz alikuwa na miaka 17, alifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba na kuuza mafuta kujaribu kuweka akiba ya kumwezesha kurekodi studio, lakini haitoshi. Hatimaye mwimbaji huyo mwenye jina la kuzaliwa la Naseeb Abdul Juma Issack, aliuza pete ya dhahabu ya mama yake. "Nilimwambia...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wenye umri mkubwa wanataokea Moshi, mikoa mingine hawatangazwi au hakuna?

    Ukifuatilia taarifa nyingi watu wengi wenye umri mkubwa naskia tu Moshi, wengi wao hujulikana baada ya kufa. Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 | Mwananchi Je mikoa mingine hautangazwi au hakuna wenye umri huo? Baada ya kufa wanafanyiwa sherehe. Milardayo, BBC Swahili na gazeti la...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Gari inatikisika mtikisiko mkubwa mbele ya bonnet

    Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual). Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa wa msaada sana. Fundi wa gari amejaribu kubadilisha bush za mbele lakin bado lipo, fundi yeye...
  6. JamiiForums Tanzania Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

    Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo. Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi. Kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi huyu Mtengeneza Matukio na Msahaulishaji Matukio katika Vichwa vya Watanzania analipwa Mshahara mkubwa sana

    Popote alipo huyu Mtu ajue kuwa Krav Maga namkubali na Mimi pia natamani Siku moja niwe kama Yeye. Huyu Mtu Yeye Kazi yake ni Kusoma Kwanza upepo wa Watanzania hasa Kifikra kisha anaanza Kucheza na Akili zetu. Ana uwezo wa Kutengeneza Jambo au Tukio la Kuibua Hisia Kubwa kisha kwa muda mfupi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

    Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

    UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mkubwa Ukarabati wa Flati za NSSF

    Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi mkubwa wa Serikali za Afrika

    Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep . Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
  13. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Atakayefanya usaliti hata kama ni mkubwa, tutamshughulikia

    Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia. Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia. Haraka...
  16. JamiiForums Tanzania Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

    Hebu tumtazame Job hapa chini. Huyu alikuwa kiongozi wa Mhimili au vip?..Mbona amekuwa mnafiki kiasi hiki huyu mzee? https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-ataja-sababu-kusitisha-ujenzi-bandari-ya-bagamoyo-kwa-mkopo-wa-dola-bilioni-10.1593875/...
  17. JamiiForums Tanzania Tabata, Dar: Anayedaiwa kutaka kuiba bodaboda na kujeruhi ateswa kwa kukanyagwa na gari

    Habari wanajamvi, Kuna hii Video nimekuta inatrend sana huko jamhuri ya Twitter leo hii na inasemekana hapo ni nchini kwetu Tanzania. Sihitaji kuongelea wamefanya nini wala la kujichukulia sheria mkononi, lakini ni kiwango kikubwa sana cha unyama kilichofanywa na huyu mwenye Gari jeusi. Ni...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga mrudisheni Lamine Moro haraka sana, uchochoro wa beki zenu ni mkubwa sana

    ☝ Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga . Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora, lakini ukweli ni kwamba Mwamnyeto ni uchochoro sana, hajitumi kabisa, nadhani lengo lake alipokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uongo mkubwa kabisa kuwahi kuushuhudia

    Toka nikiwa mdogo nilikua naona matangazo kwenye TV zile "mashine za kunyolea mdevu" japo sio mashine, (sheva) maarufu sana ni brand ya Gillete, wanatangaza ni kwa ajili ya kunyolea ndevu, na niliamini kabisa ni kwa ajili ya kunyolea ndevu. Sasa nimeshangaa nimekua mkubwa na ndevu ninazo lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria(sharia) za wanawake Saudia Arabia: Ushindi Mkubwa Kwa Wanawake hao

    SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI. **************************** Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo; 1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…