mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania iliwaza vyema, umeme mkubwa uliopita sokoni umeua watu 26 Kongo

    Nchini Tanzania hairuhusiwi kujenga au kufanya shughuli chini ya miundombinu ya umeme inayobeba umeme mkubwa(High voltage). Wachache wanaelewa lengo, wengine wakijaribu kuishi chini ya njia hizo na mara kadhaa tumeshuhudia bomoa bomoa. Pia TANESCO wakijenga njia mpya wako radhi kulipa fidia...
  2. JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  5. JamiiForums Tanzania Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi walia na ushuru mkubwa wa Taka

    Wananchi mkoani hapa wamekuwa wakilalamika ushuru wa kiasi cha sh. elf mbili kwa mwezi wanaotozwa kwa ajili ya taka kwa madai kuwa ushuru huo ni mkubwa tofauti na taka wanazozalisha majumbani. Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa kwa maisha ya kawaida wanakoishi majumbani wengi hawazalishi...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson alilenga nini kupotosha kuwa mhimili mmoja ni mkubwa kuliko miingine? Alijikosha, alijipendekeza?

    Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii kauli binafsi naichukulia kua ni ya kujikosha na kujipendekeza, si kauli ya kutamka kwenye media...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

    Wakuu Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti lager kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna. Wahusika jitafakarini.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu. Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi. Hii inaonyesha hakuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  14. JamiiForums Tanzania Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Kampuni ya Apple ambayo inatengeneza bidhaa za iPhones na Mac imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya dola trilioni 3 katika soko la hisa Thamani hiyo ni kubwa kuzidi hata Pato la Ndani la Afrika(GDP) ambalo ni dola trilioni 2.6 Kampuni hiyo imefanikiwa kukua kwa kasi ndani ya miezi 16...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa. Miradi ambayo haijakamilika ingemalizwa kwa pesa gani?

    Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na pesa zetu za ndani. Wananchi walikuwa wanapiga makofi na Ndugai mwenyewe anapiga makofi. Ni kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
  17. JamiiForums Tanzania Moshi unaofukuta Kuna Kila dalili Moto mkubwa utalipuka,mamlaka isidharau dalili hizi

    Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  20. JamiiForums Tanzania Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

    Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…