Wakuu msije mkasema nina wivu, ila inaniuma kama mTanzania.
Ipo hivi...
Unapo shuka kuelekea kukata ticket kama mwenda kwa miguu, pale unakutana na mtoa huduma akiwa tayari amesha kata tickets nyingi na anachokifanya ni kukupa (abiria ticket) kisha anakupa na chenji yako na unaondoka.
Baada ya...