mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je uwezo wa kimaisha wa Tanzania (Purchasing Power) ni mkubwa kuliko Nigeria?

    Naomba kuuliza wachumi, je uwezo wa kimaisha ama kiwango cha kimaisha cha watanzania ni kikubwa kuliko cha wanigeria? Nauliza hivyo kwa sababu nilikua natumia YouTube Premium Service (You Tube ambayo haina matangazo, unaweza ku download video, unaweza kuangalia ama kusikiliza hata screen ya...
  2. JamiiForums Tanzania EX hapokei simu na hatujaachana kwa ugomvi mkubwa

    Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si kudharau call na text zangu. mi simtaki, nataka tu anisaidie ili mchakato wangu ambao yeye kwa nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya muonekano/unadhifu na Kupendelewa

    Unadhifu wa kimavazi, kiakili na kimaneno (lugha) unauhusiano mkubwa sana na kupendelewa au kupewa kipaumbele kwenye jamii. Watoto waliovaa vizuri na wasafi hata kwenye bus au hospitalini kila mtu anataka kuwa karibu nao. Ukiwa katika safari za vijijini makonda na wapiga debe wanapata taabu...
  4. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana Wazungu ni wabaya, lakini ubaya tuliowavika ni mkubwa kuliko ubaya wao

    Tumia hali ya bara la Afrika na watu wake kupinga au kukubali.
  6. JamiiForums Tanzania Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nchini Namibia, mshahara wa security guard ni mkubwa kuliko wa profesa UDSM

    Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi Tanzania hadi wao wawe mbali kiasi hiki? 1. Wazee wanalipwa. 2. Walemavu wanalipwa. 3. Matibabu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  9. JamiiForums Tanzania Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

    Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na Mtanzania. Ni mambo ambayo kabla ya kuzaliwa kwangu kama ningepewa machaguzi hakika nisinge fikiri...
  10. JamiiForums Tanzania Personal driver mwenye uzoef mkubwa, natafuta kazi

    Naitwa ernest ni personal driver mwenye uzoefu mkubwa Nimefanya kazi ya Uber sio chini ya miaka mi 4 Nina leseni yenye madaraja makubwa. Natafuta kazi ya udereva binfsi. Mwenye uhitaji naomba unipgie. 0783610244
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  14. JamiiForums Tanzania Waliotoa Kibali cha kuua Mamba Mkubwa Duniani wafikishwe Mahakamani

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii. Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna mkubwa anambania Mwakinyo?

    Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo ana-ugomvi na watu wengi kwa hiyo wanambania kwa kumfanyia figisu figisu kama hizi. Je, unadhani ni nani...
  17. JamiiForums Tanzania Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  19. JamiiForums Tanzania Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  20. JamiiForums Tanzania Mjadala East Africa Radio: Diamond ni mkubwa YouTube kuliko Jay Z

    Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube. Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…