mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  2. JamiiForums Tanzania CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
  3. JamiiForums Tanzania Moto mkubwa unateketeza Msitu wa Sao Hill Mafinga

    Taarifa za hivi punde zinasema kuwa Msitu wa Sao Hill Shamba Namba 15, uliopo Wami, Mafinga mkoani Iringa, umewaka moto. Chanzo cha moto hakijajulikana kwa sasa. Soma Pia: Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme
  4. JamiiForums Tanzania Meditisha na Taamuli ni uchawi mkubwa

    Habari zenu, Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka. Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli . Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na inaniletea madhara makubwa. Nimekuwa na uwezo wa kuongea na roho nyingi na uwezo wa kutabiri na...
  5. JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Manara ni wakati

    Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina. Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila...
  6. JamiiForums Tanzania Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  7. JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  8. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

    Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Samson Cherargei: 60% ya Wakenya wanaunga mkono Rais aongezewe muda wa kukaa madarakani

    Nandi Senator Samson Cherargei: As we talk today, my phone has over 12,000 SMS and close to 20,000 WhatsApp messages, and I have received so many phone calls, Mr. Speaker. Even the email address of the Senate is almost hitting half a million email messages reacting to my Bill. I want to report...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  13. JamiiForums Tanzania Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

    kwenye suala la mapenzi,woga wako mkuu ni upi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

    Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani. Inasemekana kwamba kabla...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke yupo na uwezo mkubwa wa uvumilivu.

    Jumapili njema . Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA. Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
  16. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  18. JamiiForums Tanzania Home made incubator yenye ufanisi mkubwa.

    Habari? Katikat pitapita mitandaoni na kusoma vitabu tofauti tofauti juu ya hizi mashine za kutotolesha vifaranga nimefanikiwa kutengeneza Moja yenye uwezo wa mayai 33. Na nimefanya majaribio mara mbili imekuwa na ufanisi wa 100% yaan imetotoa vifaranga 66 kwa awazo zote mbili. Ili uweze...
  19. JamiiForums Tanzania Mgodi Mkubwa wa Dhahabu Nyanzaga - Sengerema Kuanza Ujenzi Mkubwa Januari 2025

    MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. ●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini zamani mtu alikuwa akitukaniwa mama yake inakuwa ugomvi mkubwa sana?

    Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa unaelekea kutulia hapo utaanza upya na kuwa na vurugu kubwa zaidi, aliyetukanwa mara nyingi atakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…