mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  2. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa kuukumba chadema....wah kadhaa kujitoa chadema ...

    Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi Moto umeanza kuwaka huko Kwa ndugu ZETU Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uchaguzi Chadema umedhihirisha kuwa ni chama chenye wafuasi wengi na ushawishi mkubwa zaidi kwa Watanzania kuliko CCM

    Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi mkuu, n.k. Tofauti na CCM, mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi ndani ya CHADEMA umevuta hisia kali...
  8. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  10. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

    Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni. Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi...
  12. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Nimfuate vigezo gani ili niwe mfanya biashara mkubwa Afrika?

    Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
  14. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa utawala wa Assad kumeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Iran na Urusi

    Utawala wa bashar al assad umeanguka Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
  15. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ccm wana upendo mkubwa kwa Freeman Aikaeli Mbowe?

    Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola? Maana kuna kampeni...
  16. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa maktaba nyenginezo mpya hapa Dar

    Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea. Kimbilio lao pekee...
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

    Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Bubbles, sokwe wa Michael Jackson aliyejipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo. Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
  20. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
Back
Top Bottom