mkopo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

    Habari zenu wana JFA, Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam. Sasa naomba kuuliza kama atashindwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji

    Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini. Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
  3. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Vatican hawawezi kutupa Mkopo?

    Pamoja na pongezi kwa Baba Mtakatifu Leo XIV. Narudia tena kuuliza. Mna uhakika hawa Vatican hawawezi kutukopesha?
  4. JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa 75% wa kusoma Canada

    Kampuni ya Chenga Ed.Tech inakupatia mkopo wa asilimia 75 ya kusoma nchini Canada 75%Student Loan(No Guarantor or Collateral) 1. Financial Aid 2. Part Time Job 3. Guaranteed Job Placement 4. Permanent Residency 5. Frexible Loab Repayment Contact Number :+1(647)785-6491 or +255 657 783 083...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nilivyonasa kwenye mtego wa simu za mkopo

    Baada ya simu yangu ya tecno kuharibika sikuona haja ya kupoteza hela kuipeleka kwa fundi kwa sababu nilikuwa nimeitumia kwa miaka mitatu hivyo nikaona ni bora tu nikatafute simu nyingine mpya ya kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi pesa ya mkopo unapaswa kuitolea fungu la kumi?

    samahan naomba ufafanuzi hapa asanteni. mods naomba mnirekebishe title iwe kuitolea fungu la kumi au
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa piki piki ya hesabu au pesa ya kununulia piki piki

    Nakuja kwenu wafanyabiashara na watu wenye uwezo wa kunisaidia shida yangu ya Mkopo wa kupata PikiPiki kwa ajili ya kufanyia DELIVERY kwenye biashara zangu au Kiasi cha Pesa chenye thamani ya piki piki husika ili niende nunua mwenyewe Piki Piki hiyo MPYA dukani. Piki Piki ninayohitaji ni...
  10. JamiiForums Tanzania security Plug simu za mkopo

    wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
  11. JamiiForums Tanzania Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

    Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
  12. JamiiForums Tanzania Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo.

    Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati? Naomben mawazo hapo........
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  14. JamiiForums Tanzania Mpya kutoka wizara ya kilimo: muongozo kwa wanaoomba mkopo mfuko wa pembejeo

    WALENGWA WA MFUKO WA PEMBEJEO 1. Wakulima Binafsi 2. Vikundi 3. Kampuni zilizo sajiriwa 4. Vyama vya ushirika 5. Taasisi za fedha zinazotoa mikopo ya kilimo. AINA ZA MIKOPO A. MKULIMA NAFUU LOAN Huu ni mkopo unaowalenga wanawake na vijana wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 Kwa wanaume na 65 Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

    Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ina...
  16. JamiiForums Tanzania Mkopo wa MGODI wa Vodacom waweza kuwa changamoto kwa maskini

    Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao nikabaini mengi na mfano moja wapo ni huu, lazima kila mtu akae afikirie mara 2 kabla ya kuchukua mkopo wa...
  17. JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  18. JamiiForums Tanzania Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Habari Wana JF kwa mshahara wa laki tano mkopo naweza patiwa shingapi??
  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kama simu ni ya mkopo haijamaliza deni unafanyeje ?

    Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…