mkopo

  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha wananchi...
  2. Doto12

    JamiiForums Tanzania Nime process Mkopo mkagoma, TOPUP zimegoma huu mwaka?

    Mimi ni mjasiriamali. Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu. Benki nne zimeniamni na zimenikopesha na kunikata kias kubalika kila mwezi na haijawahi niletea...
  3. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Connection ya simu za mkopo

    Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection anijuze wakuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara atakuwa eligible kwa mkopo wa riba nafuu sana kama mfanyakazi/Wafanyakazi wake atawalipa mshahara kupitia bank

    Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada physical adress NaPA kwaajili ya kuomba mkopo bachelor

    Jamani naomba msaada kwa anaye elewa, napataje reference numba ya physical adress kwaajili ya kujaza olams heslb
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama Benki ya Dunia waliweza kufuta mkopo wa USD 150 Mil huko Ruaha, Tuwashawishi wafute na kuzuia mikopo yote mingine hadi reforms zifanyike.

    Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
  8. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hakuna mkopo mgumu kupata kama wa Halmashauri. Kuna rushwa sana katika mchakato

    Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa. Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano kinapaswa kuundwa kwa ajili ya kupatiwa mkopo, na lazima kitambuliwe rasmi katika ngazi ya chini. Ili...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tujadiliane kuhusu matumizi ya mkopo sio takwimu za deni

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza kuhusu hoa ya Deni la Taifa kwamba linazidi kukua, amesema ni vema Wananchi wakajadiliana kuhusu matumizi ya Mkopo na sio idadi ya ukubwa wa deni lililopo au linalojadiliwa. Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025
  10. sangaima

    JamiiForums Tanzania Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
  11. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa mkopo nafuu

    🔹 Magari mapya na yaliyotumika kutoka ndani na nje ya nchi 🔹 Marejesho nafuu hadi miezi 24 🔹 Mkopo wa hadi 65% ya gharama ya gari 🔹 Mkopo unaidhinishwa ndani ya saa 72 🔹 Riba ni ya kiwango cha chini kabisa 🔹 Huduma ni Haraka, Rahisi na hadi mlangoni kwako! Usikose fursa hii ya kipekee miliki...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni

    Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa CCM ni wana hela hadi wanaumwa hela, I tell you my fellow …. HELA zinapigwa kupitia miradi and all...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Malori

    Wakuu...naomba kujua taasisi/kampuni ambayo inakopesha malori (Malori ya kichina) kwa mfumo wa Asset Finance. Yaani unakopa Lori (kwenye kadi kunakuwa na majina mawili, la mmiliki na anayeshikilia gari) baada ya marejesho kuisha nabadili kadi na inakuwa ya Jina langu. Je kuna kampuni /taasisi...
  14. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Zijue model za simu ambazo zinaweza kuwa za mkopo

    simu za mkopo Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani kwa siku wiki mwezi usipolipia basi simu italock uwezi kutumia Sasa kuna baadhi ya watu wamekuwa...
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wafuataoa CCM inaweza wapeleka ACT Wazalendo kwa mkopo

    1. Wenje 2. Sugu 3. Mungai yule kamanda kule Iringa 4. Yericko Nyerere 5. Mbowe mwenyewe 6. Gwajima 7. Mpina Luhanga 8. Covid 19 Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  17. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT, Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
  18. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu analazimisha akatumie kitambulisho changu kupata simu ya mkopo, hii haitaniletea shida?

    Habari zenu wana JFA, Kuna rafiki yangu anajifanya mjanja mjanja kaniomba nikatumie kitambulisho changu kukopa simu kampuni fulani nimemkwepakwepa sana lakini naona ananishikia bango, leo kanipigia tena nimemwambia tukutane j5 posta mjini Dar es salaam. Sasa naomba kuuliza kama atashindwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji

    Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini. Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
Back
Top Bottom