mkopo

  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  3. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka

    Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
  4. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Bima ya mkopo crdb inakuaje kuaje ?

    Habari zenu wakuu! Ninatumaini mko pouwa asee, ninashida moja juu ya ufahamu wangu juu ya Bima ya Mkopo ambao mtu akichukua mkopo Bank. Hii Bima ya mkopo imekaaje au sheria inasemaje kuhusu hilo ? Ni katika mazingira gani hiyo Bima inafanya kazi na mwombaji wa mkopo ananufaikaje na hii Bima...
  5. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Simu za mkopo

    Habari ndugu ninaomba kuuliza kama kuna uwezekana wa kufungua sehemu ya laini mama kwenye hizi simu za mkopo ili hiyo sehemu ambayo huwa ni laini namba 1 iweze kutumika kwa laini yoyote kama umeshamaliza deni! ahsante.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Matajiri wa JF

    Hii ni kwenu matajiri wa JF, Heshima nyingi kwenu! Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu. Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama hakuna nuru. Na kama maisha yangu yakiendelea hivi bila external force kuingilia kati naona dalili ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu unapokopeshwa

    Sisi watanzania ni jadi yetu kusaidiana na kukwamuana mtu wako wa karibu anapokuwa na changamoto hasa za kifedha. Unapomuomba mtu akukopeshe pesa hakikisha unaporejesha unazingatia kuweka gharama za makato aliyotumia wakati wa kukutumia na anapopokea hiyo pesa yaani wakati anatuma na pale...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

    Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania WB Yaikopesha Tanzania Bilioni 284 Za Kuimarisha Jinsia na Kukabilina na Ukatili

    Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa. Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇 --- Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo bank ninunue Dola ya marekani

    Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko. Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  13. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mmoja anielezee hiki kikokotoo cha mkopo NMB

    mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5 Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Vikundi havijapata mkopo wa Halmashauri wa 10% mpaka sasa, hatujui sababu ni nini

    Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa BMN wa Mshiko Faster, unaweza kukufanya ukadhalilika vibaya sana

    Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile kiwango ulichopewa mara ya kwanza, ndio utapewa tena baada ya kulipa deni na kuomba mkopo mwungine hata...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kama una mkopo bank huwezi chukua NSSF yako?

    Wakuu!! Huwa sielewi tulichukua mkopo {company} ilitudhamini mkopo wa muda wa miaka6. kuna baadhi ya wafanyakazi waliacha kazi baada ya pesa zao kuzitumia divyo sivyo na kwa maelezo yao walidai kuwa hela ya NSSF walichukua bila shida yoyote. Njia waliyokuwa wanatumia ni kwenda kufungua account...
Back
Top Bottom