Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo.
Kuna hii kampuni...
Anonymous (f836)
Thread
heslb
hii
kampuni
kununua
kutaka
mimi
mkopo
wakati
wangu
wiki
Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro..
Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
Habari JF
Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung.
Modeli no A06, A07,A16 na A17.
Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako.
Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura.
Dar...
Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa?
Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi...
Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka.
Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi ukaishia njiani, wengi wao ni walichukua Mkopo wa muda mfupi (less than 5 years).
Lakini ukichukua...
Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X:
No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu.
Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu),
awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH:
==========
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha
Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa.
Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira:
Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
Anonymous
Thread
arusha
fedha
kazi
makato
malalamiko
mkoa wa arusha
mkopo
Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu.
Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
Nimeona Istagram Mhe. PM akiagiza kukamatwa kwa kijana aliyechukua hati za mama fulani na mumewe ambao wana kampuni yao binafsi kuchukulia mkopo wa Tsh 600m taslimu. PM kasema kuwa huyo mama na mumewe walikubaliana kijana awasaidie kutafuta mkopo na kumkabidhi hati ila kijana akajiombea yeye...
Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza!
Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!)
mi sikuwahi kumuona lakini...
Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
Kwema wakuu changamoto
niliyonayo ni kwamba mdogo wangu
kaapply mkopo ila ukifungua kwenye
akaunti yake inaonekana kama
nilivyoambayanisha hapa,
Je Kuna yeyote amewahi kukutana
na changamoto hii na aliitatua Kwa
kutumia mbinu ipi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB...
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu.
Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.