Wakuu,
Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29!
======
Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...