mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani. Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wa dini kwenye nyumba za Ibada, wanaongoza sala ya kuzuia mkataba wa DP, ajabu wakitoa maoni mbele ya makamera, wanaunga mkono

    Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli, Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD Ajabu ukiitwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

    Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii. CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi Bagamoyo Waunga Mkono Uendeshaji Bandari Dar es Salaam

    Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi. Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
  5. JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto ni dharau, nimfanyaje au nijilinde vipi?

    Habari wanazengo, mimi nina duku duku kidogo kuhusu watu wanopenda kutumia mkono wa kushoto ili hali siyo watu wa mikono ya kushoto. Kuna mwana mmoja mtaani hapa ninapokaa yeye mara nyingi ukikutanana nae mkisakimiana nae yeye huwa analeta mkono wa kushoto na siyo mara moja au mbili like all...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
  7. I

    JamiiForums Tanzania Uturuki yaunga mkono ✋ Ukraine kujiunga na NATO

    Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara. Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  10. JamiiForums Tanzania DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaopinga na mnaounga mkono mmeusoma mkataba?

    Bandari imetawanya watanzania katika makundi tofauti tofauti, kuhusu bandari mambo mengi yameibuka Kama siasa, udini, na muungano pia umehatarishwa katika suala hili la bandari. Na sio watu wote waliogawanyika wanafahamu chochote kuhusu mkataba husika kuna wale akina sisi ambao huwa tumezoea...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  13. JamiiForums Tanzania Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  16. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  17. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Hatupingi Uwekezaji Bandarini, ila Serikali irekebishe yanayopigiwa kelele na wananchi

    SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World). Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
  18. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ni Kiongozi wa kutoa Elimu na kuelezea Manufaa ya DP World Tanzania. Aungwe Mkono

    Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli. Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa wanapotosha kuhusu Uwekezaji wa Bandarini sasa wameelewa ukweli. Watu walidanganywa kwamba Bandari zote za...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

    Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…