Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo, nishati, mazingira na afya zinazotolewa kwa wanasayansi chipukizi na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi...