Mkombozi Commercial Bank Plc. (MKCB) is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. Mkombozi is a Swahili word meaning Savior
Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
Katika zama hizi, wanaume wanapotia magumu sana. Wapo na insecure sana. Kuna matabaka kibao. Hawa wanaogopa kuoa, hawa wanawachukia wanawake, hawa wapo jela sababu ya wanawake wengine mpaka wanawaza watapata wapi wake bora. Majibu ya maswali haya ni magumu sana kuyapata. Ila utafiti unaonesha...
Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa hukwama: biashara husimama, wanafunzi hushindwa kuendelea na mitihani ya mtandaoni, na familia hushindwa...
Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu
Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji,
Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran.
Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao.
Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio.
Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.
Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah…
Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby.
Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently.
Wazungu kwenye YouTube na socials...
Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu.
Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji.
Kama kifo ni wajibu kwanini...
Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana.
Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu.
Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa.
Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
🔥SAZI AGRI SOLUTIONS! 🔥
🌿 SAZI Agri Solutions ni mshirika wako bora katika mapinduzi ya kilimo! Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya kilimo kwa teknolojia za kisasa na ubunifu wa hali ya juu.
✅ Ufungaji wa Mifumo Yote ya Umwagiliaji – Drip irrigation, sprinklers na mifumo mingine...
Je, Hili jina la scholarship ni sahihi?
Je, Marais wengine walipewa majina kwenye mkopo ambao fedha ni za walipa kodi?
Je, nani alaumiwe, kama kuna lawama, kwa kila kitu kukiita ch aRais hata kama yeye mwenyewe hajaagiza hivyo?
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza programu ya...
Wakuu,
Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo!
Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa...
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe.
Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.