mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  3. JamiiForums Tanzania Simulizi: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Nichague kipi kati ya Ubunge na Ukuu wa Wilaya au Mkoa

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
  5. JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  6. JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya serikali isipangwe kutokana na uhitaji wa mkoa husika?

    Habarini? Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo. Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…