mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mributz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  4. ministrant

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga

    Shamba linapatikana Kijiji cha Kwa Msangazi, Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Shamba lina rutuba ya kutosha halihitaji mbolea ya aina yoyote ile kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara, halikadhalika linafaa kwa shughuli za ufugaji. Shamba lina ukubwa wa Ekari 16 na kila Ekari moja inauzwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuchagua mkoa unao penda uishi 🤑😎 TUAMBIE ni mkoa gani unapenda uishi kwa sababu ya maslahi yapi

    Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali ya maisha, huduma nzuri za JAMII nk Tuandukie APO CHINI KWENYE COMMENT SECTION unapenda ungeishi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nichague kipi kati ya Ubunge na Ukuu wa Wilaya au Mkoa

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiteuliwa kuwa Balozi (Diplomat) kisha ukateuliwa tena kuwa Mkuu wa Mkoa unapokea Mishahara ya Vyeo vyote (Teuzi zote) au wa Cheo kimoja tu?

    Wajuvi wa mambo nasubiria majibu yenu tafadhali ili nijue jinsi gani Pesa za walipa Kodi Masikini (kutoka duniani) zinavyochezewa na Raia wa Oman.
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  20. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya serikali isipangwe kutokana na uhitaji wa mkoa husika?

    Habarini? Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo. Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
Back
Top Bottom