mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  2. JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati Unahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984)

    Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
  4. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili kazi za polisi mkoa wa rukwa

    Kuitwa kwenye usaili Polisi Rukwa
  5. JamiiForums Tanzania Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

    Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu. Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  7. JamiiForums Tanzania Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Wakuu mambo vipi? Mimi ni mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera, Kijiji cha Rusinga! Pia Nsunga ni kwetu. Nimekulia mkoa wa Kilimanjaro so Naifahamu Kagera vizuri na Naifahamu Kilimanjaro vizuri sana. Hoja yangu naileta kutokana na Spika Ndugai jana kutuzodoa wana Kagera kuwa hatuna...
  8. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa, miono chalinze mkoa wa pwani.

    Hili hapa shamba pori. Eka 50 liko miono chalinze pwani. source ya maji ipo 24hrs. Tsh 220,000 kwa ekari moja call 0683011003.
  9. JamiiForums Tanzania Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

    Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA. Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo. Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  11. JamiiForums Tanzania Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga ataifisha Mali ya Wafanyabiashara wa Choroko

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr Philemon Senguti anakwamisha uwekezaji wa ndani Bunge liliagiza Wakulima wa Dengu kuhuza dengu katika Soko huria ( Free Market) Nje ya Mfumo wa AMCOs lakini cha kusikitisha Mkuu wa Mkoa Senguti anawalazimisha wakulima wa dengu kuhuza dengu AMCOs kwa Tzs 900...
  13. JamiiForums Tanzania Zile kelele za Chato kuwa mkoa zimekomea wapi?

    Kipindi Mh. Magufuli katutoka kulitokea malumbano ya siku kadhaa kuhusu kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa. Alijitokeza kanjibhai mmoja ambaye ni nshomile wa kule uhayani Prof. Tibaijuka kuponda mkakati huo hadharani bila kuficha chochote. Sasa naona mchakato huo upo kimya mda sasa. Ndugu zangu...
  14. JamiiForums Tanzania Mkoa gani hata ukipewa nyumba na gari hauwezi kuishi?

    Wakuu habari za weekend. Bila shaka ni shwari kabisa, Kuna kitu nimewaza kuhusiana na harakati za utafutaji maisha na utulivu wa familia. Niende kwenye maada husika mi nimebahatika kuishi baadhi ya mikoa hapa TZ bara na visiwani Pemba na Unguja nimeishi zaidi ya miaka 6 huko ukija bara Dar...
  15. JamiiForums Tanzania Maaajabu ya mkoa wa Songwe

    Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano barabara inayotoka Mbalizi kwenda Mkwajuni wakati wa masika huwa haipitiki kabisa kutokana na madaraja...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro badilisheni kile kibao cha KILIMANJARO AIRPORT

    Kile kibao pale kipo miaka na miaka hadi sasa Kinataka kuanguka chini, hakina kabisa hadhi ya kuonyesha kweli hiki ni kibao kinachoelekeza uwanja wa ndege ulipo. Kibao kidogo mno utafikiri ni cha boda boda Jamanii kumbe kinaelekeza uwanja wa ndege tena wanaposhuka watalii na watu ma shughuli...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wizi malipo Mock mkoa wa Manyara

    Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku tatu wamelipwa elfu 20,000. Wengi walitumia nauli hapo toa elf 6 kwa siku 3.waalimu waliotokea...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kimasai mkoa wa Singida

    Jamani naombeni msaada wa jinsi soko la viatu vya kimasai mkoa wa Singida kwa mfanyabiasha anayeanza
  19. JamiiForums Tanzania Upi mkoa bora kuanza maisha?

    Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu. Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu Chakla Makaz Biashara Nk
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…