mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkutano wa Majumuisho Katika Ziara ya UWT Taifa Mkoa wa Geita

    UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
  2. Ireland bado kuna ubaguzi wa rangi

    Racial abuse in gymnastics: Irish body apologises after racism controversy involving young gymnast AFP "We would like to unreservedly apologise to the gymnast and her family for the upset that has been caused by the incident,” said a statement by Gymnastic Ireland (GI) posted on its website...
  3. K

    Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  4. A

    DOKEZO Madaktari Watarajali Hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro tunadhalilika mitaani kwa kucheleweshewa posho za kujikimu

    Sisi Watarajali (Interns) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Hospitali ya Mawenzi) tunapitia katika changamoto zenye kuleta ugumu mkubwa katika maisha yetu ya kulitumikia Taifa katika kutoa Huduma za Afya. Tunapambana kwa juhudi kubwa katika kutoa Huduma za Afya hapa hospitalini...
  5. Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  6. Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

    Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%. Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
  7. Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Mara Wapamba Moto

    MBUNGE AGENS MARWA ACHANGIA UJENZI NYUMBA YA KATIBU UWT MKOA WA MARA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa amekabidhi mifuko 10 ya Saruji katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Mkoa wa Mara ikiwa ni sehemu ya matofali 1000 pamoja na laki tano (500,000) zilizotumika kununua...
  8. Mbunge Magige Bega kwa Bega na Ujenzi wa UWT Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya...
  9. Karibu Mwenge wa Uhuru Ndani ya Mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
  10. Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  11. Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  12. Kila mkoa kuwe na eneo maalum la walemavu

    Huwa napata uchungu sana pale nikiwa natembea bara barani halafu nakutana na mtu mwenye ulemavu akiwa na bakuli anaomba omba, Wazo langu kwakuwa sisi watanzania hatunaga baya pale tunapoona serikali inatoa msaada basi serikali itenge maeneo maalumu ya watu hawa na iwatengenezee miundombinu ya...
  13. Maonesho ya Madini yafungua Mkoa wa Lindi

    #Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini. Ruangwa - Lindi Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua mkoa huo kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt...
  14. Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  15. Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  16. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma imekuwa ya ndugu wa Madaktari, Manesi na Washkaji zao

    Hospitali hii imekuwa ya ndugu wa madaktari, manesi na washkaji zao.. Tangu afe Magufuli huduma za hospitali Rufaa Mkoa wa Ruvuma zinatolewa kwa kujuana sana, ndugu wa watoa huduma hospitalini madaktari na manesi pamoja na washkaji zao wao kwa wao wanaingia na kutoka sisi wengine tumekaa tu...
  17. DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  18. Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  19. TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  20. Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…