mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  2. JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  3. JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Salaam Wakuu Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend. Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja. Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe. Mtashangaa Matokeo yake. Polisi wana...
  4. JamiiForums Tanzania Songwe: Mwendesha Bodaboda achinjwa mbele ya mke wake

    WATU wasiofahamika wamemchinja dereva wa bodaboda Sadick Mwashambwa (24) akiwa na mkewe na mtoto wao mchanga. Mauaji hayo yalifanyika usiku wa kuamkia jana saa 11.20 usiku katika kitongoji cha Kamficheni kata ya Hasamba wilayani Mbozi mkoani Songwe. Inadaiwa kuwa wanaume wawili walikwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma

    Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

    Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea...
  7. JamiiForums Tanzania Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  8. JamiiForums Tanzania Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
  10. JamiiForums Tanzania Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Zambia: Azirai baada ya kugundua mkewe ni mmiliki wa nyumba waliyopanga

    Mwanaume mmoja raia wa Zambia aliyetambulika kwa jina la Martin Stampa, anadaiwa kuanguka na kuzirai baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye “mwenye nyumba” wake. Kulingana na taarifa za mitandao ya kijamii nchini humo, imesema, Stampa (37), aliishi katika nyumba hiyo kwa miaka 15, na alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe

    Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15. Nyieee hahaha wanawake mnasiri kubwa daah,Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Martin...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  15. JamiiForums Tanzania Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
  16. JamiiForums Tanzania Manyara: Amuua mkewe kisa Tsh. elfu kumi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Petro Basco (38) mkazi wa Gabadaw Wilayani Babati Mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware (49) kwa fimbo na kumsababisha kifo huku chanzo kikielezwa kuwa mtuhumiwa kumtuhumu mkewe amechukua pesa yake kiasi cha shilingi elfu 10. Tukio...
  17. JamiiForums Tanzania Amuua mkewe kisa house girl!

    Bwana mmoja huko Sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo! Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila...
  18. JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Mume agundua mkewe anameza ARV ila yeye anafichwa

    Ipo hivi nina rafiki yako ambae shughuli zake ni dereva sasa amenipa mkasa wake na kuomba ushauri. Jamaa mwanzo mwa miaka ya 2000s alimpata Binti wakakubaliana na kuamua kuishi pamoja wakabahatika wakapata watoto watatu wakiume wawili wa kike mmoja. Ila kutokana na sababu kadhaaa wakawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…