mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  2. Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  3. TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

    Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar. Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940. Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema...
  4. A

    Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

    Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
  5. Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

    Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu 29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26 Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na Dini yangu ili akubali na sikujua kama...
  6. SoC01 Naamka nikiwa na miaka 40, Mke wangu amekuwa msaada

    Nina miaka 40 sasa lakini ndio naamka nashtuka kuona kwamba nilipoteza sana muda, pesa na sikuutumia vizuri ujana wangu. Ningewaza haya mapema ningekuwa mbali sana kimaendeleo hata kama si kwa pesa nyingi lakini ningekuwa nimepiga hatua kubwa. NINI KILINIPONZA? 1. UVIVU NA NJIA MKATO Shule ya...
  7. K

    Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  8. P

    Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  9. A

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Habari wakuu wa kaya. Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha. Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. Amegoma kunisamehe...
  10. Singida: Amuua mke baada ya kuombwa ada ya mtoto

    MWANAMKE mmoja Moshi Mkimbu (40) mkazi wa Kijiji cha Ndulungu Tarafa ya Ndago Wilaya ya Iramba mkoani Singida ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na mume wake aitwaye Juma Shabani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Kamishna Msaidizi (ACP) Stella Mutabihirwa akizungumza na waandishi wa...
  11. M

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Mwanachama #001 Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa. Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui. mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake...
  12. A

    Natafuta mke

    Kama niliyvo sema apo juu mimi nahitaji mke awe kweli na utayari pia umri usizidi miaka 29, nipo Dar. Huu ndio wasufu wangu Umri wangu 25 Dini yang muslim Kazi mfanya biashara NB:dini Ata akiwa mkristo ila awe tayari kubadili ila awe tayari kwa ndoa mwaka huu pia karibu (asiwe mwembamba Sana)...
  13. Kumpenda mke wako inamaanisha nini?

    1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao. 2. Msifie pale anavyofanya jitihada ya kuwa na muonekano mzuri. Pale...
  14. Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

    Haijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani, mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia). Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume...
  15. Mke wa Rais wa Ghana kurudisha posho yote aliyopokea tangu Rais aingie madarakani ili kulinda taswira yake

    Mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, Rebecca Akufo-Addo, amesema atarudisha kiasi chote cha fedha alichowahi kupokea kama posho tangu mumewe aingie madarakani mwaka 2017. Hatua yake hiyo imekuja baada ya wananchi kulalamikia uamuzi wa Bunge kumuongezea posho na kufikia Dola 3,500 kwa mwezi...
  16. Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

    Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2} Awe kisirani kisichoisha 3} Ni rahisi sana kukucheat 4} Atakuchukulia poa Acheni ubahili mpe mpenzi...
  17. Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  18. K

    Nimetembea na mke wa jamaa aliyenifukuzisha kazi

    Jamaa alikuwa mnoko sana akawa ananichongea kwa boss ili tu kitumbua changu kiingie mchanga na kweli alifanikiwa kikaingia kwelikweli. Wakati tupo kazini mke wa jamaa alikuwa anakuja kuja kumtembelea jamaa kiasi ndiyo nikamjua shem wangu yule. Maisha ni mzunguuko baada ya kama miaka miwili...
  19. Mke mtarajiwa anahitajika

    Habarini wadau.Nisipoteze muda, nachukua nafasi hii kuweka hapa rasmi, mke mwema anahitajika. Umri wa mume mtarajiwa Ni 36 yrs, mkristo Safi, Elimu Ni graduate..., Mwajiriwa idara X. Mwanamke mtarajiwa sifa zake. -Awe na umri kuanzia miaka 25-30, -Awe mkristo wa dhehebu lolote akiwa mkatoliki...
  20. Natafuta mke

    Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke. Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri, mkristo wa KKKT na miaka 34. Mwanamke ninayemtaka umri kuanzia miaka 22 mpaka 38...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…