mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji mke

    Habari zenu wakuu. Sina maneno mengi bali; ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :33yrs Elimu: Shahada Rangi: Mweusi Dini: Mkristo Kimo: 178cm Sifa za mke 1. Umri: 25 -32 yrs 2. Elimu: kidato cha nne na kuendelea 3. Dini: Mkristo 4. Asiwe single mother Kama uko...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  4. JamiiForums Tanzania Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

    Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio? Anakwambia Mume wake hana muda nae sio? Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio? Anakwambia anakupenda sana eeeh! Utalia siku moja.
  6. JamiiForums Tanzania Hapa mke wangu kanidanganya

    Wakuu habari za uzima? Leo jumamosi imeambatana mvua kubwa sana kwa maeneo ya dar es salaam. Mke wangu aliamka saa11 alfajiri kutengeneza maadazi, sasa kipindi anatengeneza akaanza stori zake kwenye biblia. Yeye: unajua mme wangu miongoni mwa stori nzuri za kwenye biblia ni kisa cha yesu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu Mke kujua kipato cha Mume?

    Kuna umuhimu wa Mwanamke kujua Kiasi cha mshahara au kipato cha Mume wake?
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

    KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu, cheki kideo

    Jamaa kafumaniwa Hotelini, kaona mambo yasiwe mengi kaamua kujirusha kutoka ghorofani
  12. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutafutiwa Mke urudi kwenye jamii?

    Ulimwegu wa sasa umekuwa na Ndoa zinazovunjika kila uchwao na ukiangalia sababu kubwa ni kutofahamiana na kuchunguzana kabla ya Ndoa. Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiwa wake na wazazi na ndoa zilidumu kwasababu kulikuwa na uchunguzi wa tabia kabla ya ndoa. Swali : Swala la kijana kutafutiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

    Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu, Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi, Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya...
  15. JamiiForums Tanzania Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  16. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia ya mke kusambaza habari kutoka ndani kwake, je ni sahihi?

    Habari za siku wapendwa. Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au kuwathibiti yani iko hivi tuseme unaishi na mke wako au mume wako lakini ikitokea mmepishana kauli...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa amnunulia Mke wake Sex Toys

    Habari zenu, Leo wakati tupo tunagonga moja mbili kuna jamaa akasema kamnunulia Mkewe Sex Toys ili awe anajiridhisha mwenyewe akiwa amesafiri kikazi. Jamaa ni Mfanyabiashara na huwa anasafiri mara kwa mara muda mwengine hata Mwezi hayupo kwake. Hili suala limenifanya nijiulize maswali ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…