mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Tangu Mwaka 2017 naishi Mkoa tofauti na mke wangu sababu ya kukosa uhamisho kazini, ndoa yangu ipo shakani

    Ndugu zangu JamiiForums Habari zenu! Nimeona chapisho lenu kuhusu uhamisho, limeniumiza sana ndugu zangu. Kwa nini nimeumia? Napitia changamoto kama hiyo, mimi pia mke wangu ni muajiriwa (Mwalimu), tangu nifunge naye ndoa Mwaka 2017 mpaka leo (Julai 2025) tunakaa mikoa miwili tofauti. Hili...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Habari Wana JamiiForums. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama meli. Twende Kwa mada,kuna binti mmoja miaka mitatu iliyopita tulijikuta kwenye mahusiano ya...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu sijui hata kama form 4 alimaliza lakini kwa hii treatment anayonipa nimesahau kabisa kufikiria elimu yake, I really love my wife

    Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia meseji anaweza kutuma vizuri lakini mwandiko wake nilipoujua nilipata mashaka kama amewahi kumaliza form 4 lakini hilo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Kwanini wanamtukana Mke wangu?

    Msanii Mrisho Mpoto amekasirishwa na watu wanamtukana marehemu mke wake sababu za itikadi za chama chake
  5. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

    Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu. Hili hapana
  6. jey n

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja. Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuzaa mtoto wa nje, mke wangu anaharibu watoto kwa kigezo cha "upendo"

    Mimi na mke wangu tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja, ana miaka 6 mpaka sasa Tatizo la huyu mtoto ni mtoto ambaye hana uvumilivu, akitaka kitu fulani ni lazima mama yake ampe la sivyo atakuwa analia mpaka akipate, akipewa chakula fulani asipokipenda itabidi mana yake ampikie kingine au mkamnunulie...
  8. Isenye

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

    Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki. Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa...
  9. Mr George Francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

    Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu. Mimi ni fundi furniture natengeneza vitanda, masofa, makabati nk. Mke wangu ni mama wa nyumbani na tuna watoto wawili...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

    Habari zenu wauu lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki iphone

    Habari wakuu Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/= Naombeni ushauri wenu wakuuu. Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa...
  12. Diabara

    JamiiForums Tanzania Rais anampenda mke wangu

    Jamani mwenye hii simulizi anisaidie
  13. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

    Wakuu huyu mwanamke kanichoka au vipi huwa simuelewi hata kidogo ukimuuliza anasema uwezo ninao kwahiyo ni bora niongeze wawe wawili Katika karne hii sijawahi kuona mwanamke kwa ridhaa yake akimtakia mmewe aoe mke mwenza hata kwa sisi waislamu ambapo swala la kuoa wake zaidi ya mmoja...
  14. Mr Fan

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  15. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni miongoni mwa wanawake waliopata mume ambae ni “Full package”

    Imagine unaolewa na mwanaume 1. Handsome 2. Ana elimu 3. Uchumi wa kati 4. Anabusara. Na kubwa zaidi ni rijali hasa kunako 6*6. Wengi wa mtaani utakua ana elimu na uchumi atleast. Ila ni mbaya wa sura na umbo, ana mitabia ya ajabu ajabu, na busara hana kabisaaaaa. Ni kama primate. Am proud to...
  16. dorge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  17. bongo-live

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

    Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine! Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na...
  18. 1academ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kamganda mme wa mtuu! Ushauri jamanii

    Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu! Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

    Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu...
  20. tamu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke amejifungua mtoto wa kichina

    MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI. Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa...
Back
Top Bottom