mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tamu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke amejifungua mtoto wa kichina

    MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI. Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa...
  2. True Man11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka kuanzia 22 - 30, muhimu saana uwe ushaamua kuwa mke, ndoa yetu mwaka huu Mungu akijaalia, kama ni wewe...
  3. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninawasiwasi na mke wangu

    Katika ndoa kuaminiana ndo nguzo kubwa ambalo linaleta mafanikio Ila katika ulimwengu wetu huu tunasema kumuamni mwanamke ni kupoteza mda na mimi apo ndipo nimesimamia mimi ni kijana nimeoa kwasasa nina miaka 3 kwenye ndoa yangu na mke wangu Lakini kuna mambo fulani ambayo sielewi kwa mke...
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  5. Holoholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yule binti aliyekuwa anataka aje kwetu kuolewa Sasa ninae Kama mke wangu

    Wakuu Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa Baada ya muda kidogo binti akawa ananipigia simu anadai kuwa licha ya wazazi kua hawakuelewana anataka aje kwetu kuolewa no matter what...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

    Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki. Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni...
  7. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

    Habari zenu? Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ni mtumiaji wa JF

    Wife nishakujua ila endelea kuwapiga pini wanaokuja DMs
  9. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa. Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni. Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amenipa Responsibility bila kunipa Authority. Hiki ni kilio cha wanaume wengi kwenye ndoa

    Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu. Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu. Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
  12. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Mke wangu rudisha moyo wangu

    Note : 18+ MKE WANGU, RUDISHA MOYO WANGU Awamu ya Kwanza: Siri ya Kivuli Nilisimama mbele ya dirisha la ghorofa ya tatu nikiangalia mitaa ya jiji kwa tahadhari. Taa za barabarani zilimwaga mwanga hafifu juu ya barabara yenye watu wachache. Moyoni, nilijua sikuwa salama—na wala si kwa sababu ya...
  14. 1academ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuacha mke wangu kisa ndugu zangu najutaa jamanii

    Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu kinaenda sawa, lakini mimi niliamua kumwacha kwa ajili ya ndugu zangu. Leo nipo peke yangu, nimepoteza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  16. baharia 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu amenasa ujauzito wangu. Nifanye nini?

    Ndugu zangu, naomba ushauri huku nikiwa naona Aibu kwa niliyoyafanya lakini yashatokea [emoji116] Naomba msaada wenu kwa jambo zito ambalo nalipitia. Nina mwanamke ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na yeye ana mdogo wake wa kike ambaye tulikuwa tunamazoea sana, mpaka ikafika mahali dada ake...
  17. Uwesutanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Popote utakapo muona huyo ni mke wangu mwambie namtafuta

    Nitajihidi kumuelezea japo kwa uchache na nitatumia picha. Ndugu msomaji tafadhali sana mwambie mume wake namtafuta sana. Kwanza kabisa si mnene sana japo kajazia kidogo pia ni mrefu. Si mweupe Ni mweusi titititiii!.... Huyo ni mke wangu. Hajichubui wala si mweupe wa kuzaliwa. Ana...
  18. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio ahadi yangu mke wangu siku nikikupata.

    Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂 Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu, Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
  19. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

    Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika...
  20. 1academ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri

    Mzuka wana j.f Miaka 2 iliyopita nilianza mahusiano na dada ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, ilikuwa kama utani lakini nilijikuta nampenda. Mke wangu naye ni mfanyakazi, tunaenda kazini pamioja ila nilikua nampitia huyu dada. Baada ya kuanza naye mahusiano, alianza kumuonyesha mke wangu...
Back
Top Bottom