mke wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
  2. Kipenzi Changu

    Aliyemtoa kafara mke wake ili apate ubunge ni nani?

    Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge. Ni nani huyu wakuu
  3. Red black

    Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

    wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie?? sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
  4. danhoport

    Baba yangu hataki nimsaidie pesa mke wake

    Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja. Huyo mama ameshatengana nae, hapo juzi alikuwa na shida akanitafuta kwenye simu nikamsaidia pesa kiasi, sasa sijajua baba kajuaje...
  5. BIG BROTHER ALEX

    Mkubwa Fella marafiki wamemtenga baada ya kuugua

    Timu kataa NDOA, mmhhh haya, jamaa yetu anapiganiwa na mkewe, WAKUU NDOA SIO mbaya, SHIDA huanza unapo kosea kuchagua, HAPO NDO tatizo linapo tutafina vijana wengi, wkuangalia matrako, rangi, ujanja, uzuri nk, MKE WA fella kqnifurahisha SANA jinsi anvo pambana mumewe arudi barabarani kuendelea...
  6. Mhaya

    Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  7. H

    Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

    Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon. Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
  8. M

    Mwanaume limbukeni atamruhusu mke wake kuvaa hovyo lakini anachukia akiona wanaume wengi wakimtongoza, kumuangalia maumbile, kumpigia miluzi, n.k.

    Mwanamke ambae umemtolea mahari na kumuoa ukimuwekea mazingira ya kumruhusu kuvaa taiti, vimini, vitopu, vigauni, vibukta, nk. hesabia umemruhusu ajitangaze kama bidhaa inayohitaji wateja. unaporuhu avae hivyo tafadhali usichukie unapoona anatongozwa sana, watu kugeuza shingo zao kumdadisi au...
  9. Sales man

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  10. Common Folk

    Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  11. M

    Jose Chameleone asikitishwa na mke wake kudai talaka na mgawanyo wa mali

    Mke wa msanii kutoka Uganda Jose Chameleone aitwae Daniella ambaye wameishi kwenye ndoa kwa miaka 17 amepeleka kesi mahakamani ya kudai talaka na mgawanyo wa mali . Hata hivyo Jose Chameleone amepinga kulazimishwa kusaini wosia wa mgawanyo wa mali wakati yeye akiwa bado hai na mzima wa afya...
  12. Knock life

    Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

    Hawa watu , they are poor. And they will die poor . Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
  13. Ashampoo burning

    Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

    Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
  14. Mr Why

    Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  15. McLaren

    Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  16. N

    Mwanaume ni busara amzidi mke wake umri, uumbaji wa Adam kabla ya Hawa ni fundisho, Ndoa zenye watu waliolingana zinaongoza matatizo

    Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu. Adam...
  17. Lycaon pictus

    Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

    Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
  18. R

    Angalia majibu anayopewa Mrisho Mpoto baada ya kupost Instagram kuwa amefiwa na mke wake

    Watu wanatembea na visasi rohoni/moyoni. Nenda X muna alivyojibiwa
  19. W

    Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  20. Daby

    Je, ingekuwaje kama Rais Macron angemsukuma mke wake?

    Katika masuala ambayo huwa siyaelewi ni hili. Huu ni mfano mmoja tu kuwa wanaume tunapitia mengi chini ya mapaa ya nyumba zetu wenyewe. Wanaume wanaopigwa na wake zao sio wengi saana lakini wanaume wanaokuwa verbally, emotionally na psychologically abused/tortured na wanawake ni wengi saana...
Back
Top Bottom