Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao
Katika mazungumzo yao ya Jumamosi, yaliyofanyika kwa njia ya simu, viongozi hao wamejadili pia juu ya yanayoendelea katika vita nchini Ukraine...