mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four. Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

    Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo. Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba...
  3. JamiiForums Tanzania DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Muumgano ukifa Mkataba wa DP World nao unakufa?

    Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba. Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa mkataba wa DP world, Mchina na wadau wake wamepigwa bao dakika za majeruhi

    Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Propaganda na upotoshaji wa kauli ya Freeman Mbowe uliofanywa na Nape Nnauye bungeni wachambuliwa

    Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano. Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
  10. JamiiForums Tanzania Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
  11. JamiiForums Tanzania Kila waziri anaongea yake kuhusu Bandari, Wananchi wanazungumzia MKATABA!

    Rais Samia aliwahi kumtukana waziri wake kwamba alifanya 'nonsense'. Limekuja suala ya kuuza bandari sasa kila waziri na wanasiasa wanainuka kutetea uuzwaji huo wanaongea nonsense! Lukuvi kajitutumua akajikuta nonsense yake inaeleza umuhimu wa kuvutia wawekezaji. Wananchi wanazungumzia MKATABA...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu na wengine wenye majigambo ya ubobezi wa sheria wanajadili mkataba hewa

    Kwa elimu ya awali kabisa ya sheria inayohusiana na mkataba kile kilichopelekwa bungeni na kuzaa azimo la bunge hakina sifa ya kuitwa mkataba (contract) bali ni makubaliano (agreement). Wasomi wetu wa sheria wamepitwaje na jambo hili la msingi kiasi cha kutumia vigezo vya mkataba kuhukumu...
  13. JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wanajadili mkataba wa Bandari ambao si halisi, tuambieni mkataba halisi uko wapi?

    NDUGU WATANZANIA, Kama huu sio mkataba wenyewe, watwambie mkataba wenyewe uko wapi. Na kwanini bunge linaacha kujadili mkataba wenyewe linajadili mkataba ambao sio. Viongozi, Bunge, Wapiga debe wao, na madalali wa rasilimali zetu wanasema huu mkataba uliosambaa na uliojadiliwa sio wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine. Yanga inatarajiwa kutangaza muda wowote juu ya kuachana na kocha hiyo ambaye ameipa mafanikio makubwa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

    UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria; Katika sheria za kimataifa za...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  18. JamiiForums Tanzania Mkataba baina ya serikali na DP World kielelezo cha ombwe katika uongozi

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania imesaini mkataba na serikali ya UAE kupitia kampuni ya DP World ili kuweza kuendesha bandari zote za Tanzania kupitia kampuni hiyo bobevu katika maswala ya uendeshaji wa bandari Duniani. Walakini kumeonekana kuwepo kwa mapungufu mengi kwenye mkataba huo aidha...
  19. JamiiForums Tanzania Ipo siku tutakuja kujutia mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World

    Habari zenu wakuu, niende direct kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu. Bila kupepesa macho, hili suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World lilijawa mihemko ya kimaslahi binafsi na Kicmm sana. Yaani karibia CCM wote wanakubali mkataba bila kujali maslahi mapana ya taifa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mimi sina tatizo na DPW kupewa bandari

    Mimi na pia naamin watanzania wengi tunahoji aiaana ya mkataba Wapeqw bandar but mkataba uwe unaoeleweka sio mkataba wa milele Mara hauruhusiwi kujitoa hata akizingua Mara bandari zote wachukue wao Shida iko kwenye aina ya mkataba na sio waarabu Mbona tics ilikuwa ovyo ila aamkataba wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…