mjue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    Wanawake Mungu anawaona mjue

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie. Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya...
  2. E

    Mjue Jenerali Moses Ali anayewania ubunge akiwa na miaka 86 Uganda

    Juni 18, 2025 kwenye mitandao ya jamii kulikuwa na video inayosambaa ikimwonyesha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya chama cha NRM, Dk Tanga Odoi akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge Jenerali Moses Ali (86) akiwa kwenye gari lake. Kutokana na hali yake ya afya na umri mkubwa, Jenerali Ali...
  3. Huihui2

    David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

    David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi: 1. MAELEZO YA JUMLA: Jina kamili: David (Dave) Barnea Tarehe ya kuzaliwa: 1965 Nchi: Israel Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa) 2. ELIMU: Alisoma...
  4. The Dictator

    Mjue TUNICATE.

    SEA SQUIRT (tunicate) ni mnyama/samaki wa baharini ambaye anapokuwa mchanga, anakuwa na ubongo wake kama tu ilivyo kwa viumbe wengine na huogelea akitafuta sehemu ya kudumu ya kujishikilia, kama vile mwamba. Mara anapopata sehemu hiyo, hujishikilia hapo, kisha hufanya kitu cha ajabu...
  5. funaku

    Mjue mmoja wa wanaojiita wanaharakati waliozuiliwa na kesi ya uhaini -Utaanza kunusa kitu

    Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
  6. Stuxnet

    GROK: Mjue Faustin Mafwele na matendo yake dhidi ya binadamu

    Je Faustin Mafwele ni nani? Kwa nini analalamikiwa sana? Kwa mujibu wa AI ya GROK iliyopo mtandao wa X:- Faustine Mafwele ni afisa wa jeshi la polisi la Tanzania, ambaye kwa sasa ana cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (Assistant Commissioner of Police - ACP). Ameshikilia nyadhifa mbalimbali...
  7. The Dictator

    Kabla ya Pope Leo XIV (2025), Mjue mwanzilishi wa jina "LEO" - Pope Leo I

    Papa Leo I (ambaye huitwa pia "Leo Mkuu") alikuwa mmoja wa Mapapa muhimu sana katika historia ya Kanisa Katoliki. Alitawala kama Papa kuanzia mwaka 440 hadi 461 BK, na alijulikana kwa hekima, uongozi madhubuti wa kiroho, na mchango wake mkubwa katika kuunda mafundisho ya Kanisa. Maisha na...
  8. Mstahiki Mea

    Mjue Pope Mwanamke

    Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9 Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
  9. Kekule Wa Benzene Ring

    Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya

    Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
  10. Setfree

    Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

    Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana...
  11. Technophilic Pool

    Mlionunua apartment ghorofani juu kabisa Palm Village au Magomeni apartment, mjue mnaishi ndoto yangu

    Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu. Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
  12. Brain Kingdom

    Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  13. Setfree

    Aliyekuwa mbobezi wa Atheism, ageuka na kuwa Mkristo

    Huyo si mwingine bali ni C.S. Lewis C.S. Lewis, once a firm atheist, became one of the greatest Christian thinkers and writers of the 20th century. His journey from skepticism to faith was not emotional or blind—it was the result of deep intellectual reflection. Through his powerful books, he...
  14. KING MIDAS

    Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  15. Braza Kede

    Mjue Nayb Bukele aka "Mkono wa Chuma" Rais wa El Salvador

    Ana umri wa miaka 41. Ni raisi wa nchi ya el Salvador, nchi ndogo iliyopo Latin America. Ni raisi machachari kwelikweli. Siku za nyuma nchi hii ilikuwa na rekodi ya kutisha kabisa ya matukio ya kiharifu. Ilikuwa ni ngumu kupita kipande chochote kwa salama pasipo kuchezewa rafu na wajomba...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Kuna Haja ya Kuwekeza Katika Kiwanda cha Kutengeneza Mabasi na Daladala

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za...
  17. mahindi hayaoti mjini

    Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

    Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau? Au mnangoja yapande ndio mlaumu? Mkijua kulaumu mjue na kupongeza. Mama mpaka achoke mwenyewe
  18. 5

    Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  19. sonofobia

    Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

    Anaitwa Benson Kigaila. Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA. Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA. Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19. Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa...
  20. R

    Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
Back
Top Bottom