mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

    Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka, Mtura nao ukatoweka! Likawa linapatikana Bomu, mimi silipendi sana. Bado najiuliza kwanini Mtura...
  4. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

    Samahani uzi huu hauna nia ya kukashifu au kutweza utu wa mtu na maumbile ya mwanadamu ! Lakini ukichunguza watu wanaoishi vijijini sana au maskini sana huwa na sura mbaya na maumbile mabaya tofauti na ya Wale wanaoishi mijini na au matajiri. Mfano unaweza kujua kipato cha mtu au anapoishi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wamiao mjini Liuzhou mkoani Guangxi China washerehekea Tamasha la Manghao

    Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila la Wamiao, ambayo inaashiria afya na maisha marefu, uadilifu na urafiki, bidii na ujasiri, na...
  7. JamiiForums Tanzania Mishe za mjini

    wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do alot(multipurpose,smart,creative,hardworking)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka

    Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi. Nimechukua...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China

    Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  15. JamiiForums Tanzania GooglePesa platform matapeli wapya mjini

    Habari wana JF, Kampuni inayojitambulisha kama GooglePesa Platform iliyojikita jijini Arusha na kuendesha biashara ya utapeli kupitia mtandao (www.googlepesaplatform.com). Kampuni hiyo ina muundo sambamba na iliyokuwa Kampuni ya Kalynda. Wanatumia website na application yao iliyopo playstore...
  16. JamiiForums Tanzania Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

    Leo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift. Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
  18. F

    JamiiForums Tanzania Watu wa bara acheni ujuaji mkija mjini

    Naona hii tabia inaota mizizi kila uchwao siku baada ya siku tabia ya watu wa bara kujikuta ujuaji matokea yake mnaharibu kila kitu kama Utada poa nyie ni watu wa mwanzo kuuleta huku bara yaani mmeharibu dada zetu watu wa pwani yaani sio pos hawashikiki hata kidogo sababu ni yenu. Baada ya kuja...
  19. JamiiForums Tanzania Pisi zipo nyingi sana mtaani tafuta Moja ya uhakika tulia

    Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo. Kwanini utembee na mke wa mtu? Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili. Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako. Mkesha wa...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…