Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
Sorry... headline isomeke hivi
Chama cha chadema kuongoza Tanzania labda mkazikiri uchi sio kwa ujinga mnaoufanyaga
..
📌 Nishawai kufanya kampeni za mbunge fulani (Wilaya ya muleba) Toka Chadema kelele zilikuwa nyingi na ushindi ulikuwa mkononi kabisa chadema kuchukua kiti cha ubunge jimbo...
Akizungumza mbele ya Rais Cyril Ramaphosa na Jumuiya ya Wafanyabaishara, Rais Yoweri Museveni amesema Uganda ina mazingira rafiki kiasi cha kutohitaji watu kufanya kazi kwa nguvu ili kufanikiwa.
Museveni ambaye ameitawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 37 amesema "Sisi tupo eneo la Ikweta, tuna...
Habari wanajukwaa.
Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu.
Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
Alipewa ujauzito na rafiki yangu so ni shemeji yangu.
Mimba ilipofika miezi minne jamaa akakata mawasiliano, hakuna sms wala calls wala matumizi .
Mimba miezi mitano binti kasimamishwa kazi kwa muda mpaka ajifungue sababu ya complocation za mimba na nature ya kazi.
Miezi tisa binti kajifungua...
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.
Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
Unaweza ukajiona mjanja mbele za mwanamke kwa kumpa pesa kila anapokuomba kumbe mwenzako anakuona huna akili, unajipendekeza, mjinga, lofa.
Mpe pesa mke wako, mpe pesa mama yako mzazi, mpe pesa dada yako, inatosha. Hao wanawake wengine ambao wanakuomba pesa kwa silaha ya jinsia yao wanyime kila...
Kwema Wakuu!
Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika.
Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala.
Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea!
Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia...
Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha
Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli?
Chifu mangungo ni nani...
M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini.
Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali.
Sasa baada ya...
Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga.
Hakuna mtu ajuaye kila kitu.
Sasa basi, leo ngoja niulize.
Katika Tanzania yetu hii...
Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu kuhusu anga kilichokuja mbele yangu .
Katika harakati za kutafuta mwekezaji nikaangukia KWA huyu...
"Watanzania wa Siku wamekuwa ni Watu wa Kulalamika tu sijui kwanini na sababu za Kulalamika huwa ni Mbili tu ambapo Kweli Mtu huwa ana Shida na nyingine ni Mtu tu kuwa Mjinga na kutojua Mambo mengi" Mzee Butiku Kada wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere.
Chanzo: ITV...
Mpaka dakika hii mwenzenu sielewi dhana ya form za kugombea nafasi ya uspika kutolewa kwenye ofisi ya CCM.
Mimi dhana yangu ni kwamba ukishakuwa mbunge wa chama fulani nafasi yeyote ile ya uongozi ikitokea bungeni ni suala la kumuona katibu wa bunge na kuchukua form na kugombea.
Misingi ya...
Habari wanajamvi!
Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa.
IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato katiba mpya ulioongozwa na mzee wetu WARIOBA.
Katika ile tume,POLEPOLE alipewa ''airtime'' sana...
Uganda to surrender Entebbe International Airport over Chinese cash
- -------------
Top Ugandan officials have been boxed into a corner of bother after lenders in China rejected their request to re-negotiate ‘toxic clauses’ in the $200m (Shs713b) loan picked six years ago to expand Entebbe...
MASJID RAWDHA NA SOKO MJINGA KISUTU
Masjid Rawdha ni huo msikiti kushoto ambao zamani ulikuwa ukijulikana kama Masjid Badawy na hili ndilo jina nililolikuta mimi wakati napata akili.
Kulia ni soko maarufu likijulikana kama Soko Mjinga.
Majengo yote hayo yamebadilika kwa kuvunjwa yale ya zamani...
Kuna huyu Dogo ambaye ukimwekea Noti ya shilingi elfu kumi na Sarafu ya shilingi mia tano yeye anachagua ile sarafu ya mia tano anaacha ile noti ya elfu kumi.
Dogo aliwashangaza watu wengi na kila ikitokea mtu haamini jambo lile basi yule dogo anaitwa na vile vile anachagua mia tano.
Siku...