Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...