mizigo

  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

    Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
  3. JamiiForums Tanzania UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  4. JamiiForums Tanzania Malori yanayolete mizigo Mwanza hurudi matupu na badala yake yanabebana wenyewe

    Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo, malori yanakuja Mwanza yakiwa yamejaa mizigo kama bidhaa za viwandani, vifaa vya ujenzi, na bidhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive? Tena kwa njia ya Sea freight...
  6. JamiiForums Tanzania Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  7. JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nina kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
  9. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
  10. R

    JamiiForums Tanzania wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania "SGR Imefika Mpwapwa, Lakini Mizigo Bado Inapiga Kambi Bandarini!"

    Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya. Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono? Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
  13. JamiiForums Tanzania Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

    Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao.. Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya...
  14. JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Watumishi mizigo maofisini unatokana na mahusiano ya kingono kati ya mabosi na walio chini yao.

    Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100% Chanzo kikuu ni hiki hapa;- 1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
  16. JamiiForums Tanzania Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

    Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
  17. JamiiForums Tanzania Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni: Tatizo la Kujifanya Usalama wa Taifa na Kuongeza Lawlessness

    Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma. Faida za Bandari Kavu...
  19. JamiiForums Tanzania SGR ianze biashara ya mizigo

    Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar. Hii itasaidia...
  20. JamiiForums Tanzania Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…