mizigo

  1. Pfizer

    Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
  2. A

    KERO Air Tanzania mnachelewesha mizigo ya wasafiri wenu wa Comoro hadi kero, jirekebisheni, mnatukwaza

    Nalalamikia ndege za Air Tanzania hususan zinazoenda Comoro, kuna wakati wa rush za biashara kama za mwezi wa ramadhan au likizo Air Tanzania inatabia ya kubeba abiria na kuacha mizigo mpaka baada ya siku mbili. Wacomoro huja kwetu Tanzania kwa matibabu na kuchukua bidhaa za biashara, leo mtu...
  3. M

    Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  4. Tanzania Railways Corp

    TRC yaanza rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia container carriers SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati wa kuanza safari...
  5. B

    Biashara ya Guta la mizigo ina utofauti gani na biashara ya bajaj ya abiria?

    Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj kuwa ghari kulinganisha na kinachoingia,sasa hapa pia nilitaka kufahamu,vipi kuhusu GUTA (pikipiki...
  6. jocky187

    Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda Kasumbalesa, Lusaka

    Nisaidieni wadau wenye magari ya transit kwenda kasumbalesa,Lusaka,Maamba Mwenye Conection namba zangu hizo wakuu 0620411256
  7. Roving Journalist

    Responded Wizara ya Ujenzi: Wanaosafirisha mizigo mikubwa waache kutumia vishoka kuomba vibali, wanakwamisha kazi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya Ujenzi imetoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ya Mdau ~ Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji...
  8. M

    Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
  9. Mad Max

    Asilimia 36 ya Magari yanayotumia Morogoro Rd (Ubungo - Kibaha) ni Maroli ya Mizigo - TANROADS

    Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo. Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%. Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
  10. chiembe

    Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  11. masai dada

    Cargo bora ya mizigo nairobi-Dar

    Naombeni msaada wa cargo ya kusafirisha mzigo NAIROBI -Dar Hawa nilionao uswahili wao umenishinda Yaani siwezi Itss too much Mambo ya hovyo nayashuhudia
  12. DR. MWAKABANJE

    Je bei ya usafirishaji mizigo toka China Kwa CBM ni kiasi gani Kwa wastan

    Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM. Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
  13. Tanzania Railways Corp

    Uzinduzi wa Usafirishaji mizigo kwa SGR

    sg
  14. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
  15. M

    Unajenga bandari ya Nyamirembe kwa bil 4 ili itumike kupeleka mizigo Drc huku unajenga Sgr mpaka Kigoma

    Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan. Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni. Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma? Hizi ni siasa gani?
  16. M

    MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  17. funaku

    Treni ya Mwendo kasi (SGR) Yaanza huduma ya kubeba mizigo

    Hakika kazi imeendelea. Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia. Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
  18. A

    KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
Back
Top Bottom