miwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 05CUBA

    Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  2. kavulata

    Baba Levo ahutubia wajumbe akiwa na miwani ya giza, ni sawa?

    Ni sawa kuwahutubia wajumbe ukiwa umevaa miwana kama hii? https://youtu.be/JbhL8mwx67c?si=v0ogSQY26ydWrzV8
  3. X

    Kuna huu upuuzi wa kuvaa miwani meusi siku ya maziko au misibani. Hivi wenzetu mnaotinga sunglasses misibani mna shida gani?

    Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini? Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba mwingi sana. Hata mkienda kugoogle bado sababu mtakazoleta hazina maana yoyote wapuuzi tu...
  4. Fbn

    Mtu anaye tumia miwani inayoficha macho yake sio wa kumsikiliza

    Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli. Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
  5. P

    Nimemnunulia mtoto Miwani lakini kavaa wiki tu lakini leo hii imetanuka

    Habari zenu, Naomba kuuliza kama kuna kuna anayejua shida hii ya miwani Nimemnunulia mtoto MIWANI lakini kavaa wiki tu leo hii Anavaa umekuwa kubwa yaani inamvuka has wa akiinama., nitumie njia gani iweze kukaa vizuri bila kuvuka?
  6. Sun Wukong

    Miwani gani sahihi yakutumia wakati wa matumizi ya simu, computer na vifaa vingine?

    Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...
  7. Yoda

    Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

    Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
  8. Boeing787-8

    Hii ni miwani aina gani na inatibu tatizo gani la macho?

    Hello, Miwani hii pichani, niliichukuwa Ili niivae kama fashion, maana ililetwa na donors Kwa NGO niliyokuwa nafanya kazi Sasa one day nilizijalibisha, aisee kama huna shida ya macho huwezi kuzivaa ukatembea umbali mrefu, zinaonekana Zina lens Kali. Kwa dakitari wa macho, hizi ni miwani gani...
  9. Mjanja M1

    Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

    Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao. Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    Miwani ya Mo Dewji jana ina thamani ya Laki 6

    Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
  11. keikiu

    Miwani ya kuzuia mionzi hatari ya kompyuta, simu na tv

    - Hutakiwi kuikosa miwani hii, miwani hii ni PHOTOCHROMIC, inabadilika na kuwa nyeusi kila unapopigwa na mwanga wa jua na kuweza kukukinga na mwanga mkali wa jua. - Itakukinga na mionzi mikali ya KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV inayopelekea kichwa kuuma chenyewe, Macho kutoa machozi na kuwasha...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  13. P

    Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  14. Roving Journalist

    Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  15. Travis Kitengo

    Zoom miwani ya Mu7

    Utakachokiona Siri yako
  16. M

    Baada ya kubadilisha miwani, macho ndo yamezidi kuuma

    Habarini ndugu, Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani. Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital...
  17. THE BIG SHOW

    Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  18. I

    utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  19. KING MIDAS

    Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

    Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua. Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano...
  20. Bushmaster

    KWANINI WATU WANAOVAA MIWANI WANACHUKULIWA HIVI!?

    Jaman mtambue kua kuvaa miwani ni tiba kama tiba nyingine,ni kama wale wanaovaa hearing aids kuwasaidia kusikia vzuri Lakini ni kama automatically kuvaa miwani mme connect na akili au IQ na hii niliiona tangu nasoma Sisi ni watu wa kawaida kama nyie tu,tunapata shida sana huko kwenye...
Back
Top Bottom