Baada ya kubadilisha miwani, macho ndo yamezidi kuuma

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,054
2,426
Habarini ndugu,

Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani.

Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital nyingine. Naombeni mniambie wapi patanifaa Kwa hii tatizo.
.
 
Ulipima kabla hujabadilisha?
Na wamekupa lens ipi?
Je, mwanzo ulikuwa unavaa lens namba ipi?

Jitahidi ujiridhishe kwa kupima hospital zaidi ya moja, na vipimo hakikisha havipishani sana, na pima vipimo vyote yaani computer na manual.

Pole sana,
Meza pain killer,ama kama una dawa ya macho ya kuweka basi itumie.
 
Ulipima kabla hujabadilisha?
Na wamekupa lens ipi?
Je, mwanzo ulikuwa unavaa lens namba ipi?

Jitahidi ujiridhishe kwa kupima hospital zaidi ya moja, na vipimo hakikisha havipishani sana, na pima vipimo vyote yaani computer na manual .

Nilipima Mkuu
 
Ahsante nliandikiwa dawa ya matone nkiweka tu macho ndo yanazid kuuma inachochea maumivu
 
Ulipima kabla hujabadilisha?
Na wamekupa lens ipi?
Je, mwanzo ulikuwa unavaa lens namba ipi?

Jitahidi ujiridhishe kwa kupima hospital zaidi ya moja, na vipimo hakikisha havipishani sana, na pima vipimo vyote yaani computer na manual .

Pole sana,
Meza pain killer,ama kama una dawa ya macho ya kuweka basi itumie.
Tofauti na usa/europe, dakitari mbongo lazima akuandikie zigo la dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom