NAFASI YA KAZI DAR.

D Vice

Member
Sep 24, 2018
51
29
Habari...
Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi.
Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata.
Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia Email adress hapo chini.

jobsfacilitators@gmail.com

Kwenye ujumbe huwo, weka umri wako, uzoefu wa kazi, unapoishi pamoja na namba yako ya sim.

jobsfacilitators@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom