miundombinu

  1. JamiiForums Polisi kuanza kuwashughulikia wanaoharibu miundombinu ya Reli

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiowahaminifu kwa kuhujumu miundombinu ya reli jambo ambalo linaiingizia serikali hasara kubwa kutokana na uwekezaji unaofanywa. IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara ya kushtukiza...
  2. JamiiForums Wanayanga wenzangu. Shangilieni Tuna Bao 3-0 mpaka sasa Tumeshatengeneza Miundombinu Namungo Chali

    Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu. Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua...
  3. JamiiForums IMF: Nchi za kipato cha chini hupoteza 50% kwa miradi ya miundombinu isiyo na tija

    Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) limetoa ripoti kitabu cha kuonesha namna bora ya kufanya miradi ambayo itakuwa na uchumi jumuishi ambao utapunguza tofautii kati ya walionacho na wasionacho. Kitabu hicho kimeonesha miradi ya serikali huwa ya gharama sana na huwa haina ubora. Pia huwa haina...
  4. F

    JamiiForums Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  5. JamiiForums GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  6. JamiiForums Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Morogoro Road Jangwani Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala. Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam. Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
  7. JamiiForums GE2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

    Dah, Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach. Nimeshinda na Njaa muda wote huo...
  8. C

    JamiiForums GE2020 Dkt. Magufuli: Tumeboresha miundombinu, tumejenga barabara na kuweka taa. Tabora sasa kama Toronto

    Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020 Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
  9. JamiiForums Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

    Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu. Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao. Naogopa...
  10. JamiiForums CCM akili zenu za kuchafua Miundombinu mtaziacha lini

    Ni aibu kwa chama kikongwe Kama CCM kufanya haya wanayoyafanya.
  11. JamiiForums Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

    Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa. Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
  12. C

    JamiiForums GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  13. JamiiForums Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  14. L

    JamiiForums Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  15. JamiiForums GE2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

    Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania" Unapodharau miundombinu ya Bwawa la...
  16. JamiiForums Kukua kwa Uchumi siyo madaraja na miundombinu tu, bali PPP (Purchasing Power Parity)

    Namshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu. PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda Maswali ya Msingi 1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku. 2. Wangapi...
  17. JamiiForums China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
  18. S

    JamiiForums Maendeleo yoyote ndani ya taifa siyo ya chama fulani, ni dira ya Taifa zima

    Tukiwa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa, vyama vya siasa vinajukumu kubwa la kuelezea utekelezaji wa dira ya taifa, utekelezaji wa diplomasia ya ndani ya nchi na diplomasia ya nje ya nchi ikiwa pamoja na diplomasia ya uchumi, pamoja na demokrasia ya taifa, nchi nyingi duniani zinasimamia...
  19. JamiiForums Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  20. JamiiForums Ugonjwa wa COVID-19 uwe somo kwa nchi za Afrika kuboresha Mifumo ya Afya na Miundombinu ya Afya

    Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…