mitungi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kishoa afanya ziara kata ya Ibaga, Mkalama. Agawa mitungi ya gesi, kuchangia 3.7M ujenzi wa Zahanati

    Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuliongoza na kuliletea maendeleo Taifa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee Akabidhi Mitungi 200 ya Gesi, Aungana Kushiriki Iftar na Waumini wa Dini ya Kiislam

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi. "Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
  3. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mitungi Empty ya GAS 200 inauzwa Kampuni Zote.

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa. Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu. CAM GAS MIHAN/TAIFA GAS OGAS LAKE GAS PUMA GAS MANJIS GAS Ukija utachagua unataka mitungi ipi uchanganyiwe vipi. Mnunuzi ni...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza kwa wanaofahamu: Je inawezekana Juice dispenser ya mitungi mitatu kuendeshwa kwa solar?

    Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je inawezekana nikanunua mfumo wa solar na ikawezekana kuiendesha hiyo juice dispenser? Specification zake ni...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mufindi wamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mitungi

    Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa. Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia ya mita kwenye mitungi ya gesi

    MATUMIZI YA MITA KWENYE MITUNGI YA GESI Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi kubwa ya gesi asilia. Ripoti mbalimbali zinaonyesha kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na gesi asilia yenye ujazo wa mita trilioni 230, ingawa imethibitishwa hadi sasa ni futi trilioni 57.54. Kutokana...
  8. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

    Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Husna Sekiboko Agawa Mitungi ya Gesi Kijiji cha Lukozi, Lushoto-Tanga

    MBUNGE MHE. HUSNA SEKIBOKO AGAWA MITUNGI YA GESI KIJIJI CHA LUKOZI, LUSHOTO-TANGA Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga, Mhe. Husna Juma Sekiboko tarehe 11 Machi, 2023 alifanya ziara katika kijiji alichozaliwa, Lukozi na kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho ambao walimueleza Mbunge...
  13. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

    Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?" Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane gharama za Marketing Meneja wa Mitungi ya Gesi huyo January Makamba, zililipwa na Rostam?

    Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu? Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman? Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ziko wapi? Waziri Makamba anavunja Sheria za nchi mchana kweupe

    Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
  18. Movies Store

    JamiiForums Tanzania Nanunua Mitungi Empty ya Gas za Majumbani Kampuni zote

    Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe. Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
  19. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

    Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz. Naona kama Mh...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
Back
Top Bottom