Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

Mr DIY

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
1,111
2,320
Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii picha
IMG_20221026_143009_493.jpg

Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza,
IMG_20221026_142922_320.jpg
 
Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo ambayo sijayazoea kwa muda wote nikitumia Oryx, cheki hii pichaView attachment 2398441
Mshale ukaonesha kama hivyo na sijawahi kuona wakati natumia Oryx, basi nika disconnect nikaweka wa Oryx nikapata haya matokeo, sasa najiuliza, View attachment 2398442
Nyie mtumieni waziri tu huku kwingine mtachemka
 
Mimi nna mtungi wa oryx na mihan uwa nabadili badili mwezi huu naweza nunua mihan .wezi ujao oryx sijanotice utofauti
 
Kwenye ujazo wa gesi na vipimo vya mizani (uzito kilogramu au gramu) watu tunapigwa sana bongo.
Amna kampuni iliyo tayari kupoteza wateja wake kwa kupunguza kg 2 au moja kwenye mtungi, nimewahi kufanya iyo biashara kama wakala wao wanakwambia ukipima kama mtungi ukakuta upo pungufu usimuuzie mteja rudisha depo na mala chache sana kukuta mtungi upo pungufu na ukikutana nao unakuwa unavuja utausikia kabla hata ya kumuuzia mteja au kuupima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom