mitume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mamamzungu

    Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  2. J

    Maandiko yasemavyo kuhusu manabii na mitume wa kweli na uongo

    Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo. Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
  3. Mshana Jr

    Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  4. Sumbaye

    Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
  5. Chizi Maarifa

    Hata Mitume walikuwa Waisrael / Wayahudi napata shida sana katika hili hasa kutokana na Imani yangu

    Makabila 12 ya Wana Israel 1. Ruben – mzaliwa wa kwanza wa Lea. 2. Simeon – mwana wa Lea. 3.Lawi/Levi – mwana wa Lea → kutoka hapa ndio anatoka Nabii Musa na Harun. 4. Yuda (Judah) – mwana wa Lea → kutoka kabila hili walitokea manabii wengi na mfalme Daudi na Suleiman. 5. Isakari (Issachar)...
  6. H

    Je manabii na mitume waliosimuliwa kwenye biblia na quruan mnazoziabudu na walioziandika waliikuwa ni wasomi?

    Kwani hao manabii mnaowasoma kwenye biblia na quruan na waliotunga vitabu vya dini walikuwa wasomi kiasi gani hadi bunge liwe la wasomi? quruan na biblia ziliandikwa na wasomi hadi bunge liwe la wasomi tu? Yesu na mohamad walikuwa wasomi mbona mnawaabudu na kuwatukuza hadi leo na umbumbumbu...
  7. Pdidy

    Wake mngeheshimu na kuwapenda waume zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume ndoa zingekuwa na furaha sana, badilikeni

    Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana mkiachika, mtasikia: “Huyo hakuwa wako, hakuwa kutoka kwa Mungu.” Lakini ukweli ni mawili tu...
  8. T

    ARUSHA KWA YESU: Hatimaye jiji limeangukia mikononi mwa mitume na manabii

    Geneva of africa is fall down Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli. Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
  9. Yoda

    Mitume na manabii ni watu wa aina gani katika Uislamu?

    Kwenye ukristo na katika Uyahudi huko agano la kalii nabii alichukuliwa kama ni mtu muonaji/seer wa mambo ya yajayo mbeleni, pia katika agano la kale na Uyahudi hakuna mtume au mitume. Katika agano jipya ndio kumekuwepo na cheo cha mtume(apostle) ambapo kinahusu wale wafuasi 12 waliokuwa...
  10. Munch wa Annabelle

    Utafiti: Wanyakyusa wana manabii na mitume wengi kuliko wayahudi

    Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi? Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa...
  11. Munch wa Annabelle

    Hawa manabii na mitume wa sasa hivi ni nani aliyewapa mamlaka hayo, je kama ni mungu naomba andiko la utabiri wa kuja kwao

    Kuna muda nafikiria nakosa majibu kuhusu huu utiriri wa manabii hapa Africa, Yan Africa inaweza kuwa na manabii wengi kuliko waarabu na wahayudi, Sanasana UKo unyakikyusani wanamabii na mitume kuzidi hata wayahudi watoto wa Yakobo!!! Hili linanifikirisha sana kwakwel Africa ujinga ni mwingi...
  12. L

    Kama mnamuamini Mitume na nabii Bulldozer,mbona baadhi yenu hamuwaamini Hawa,kwani wao sio watumishi wa Mungu?

    Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/ https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
  13. Tlaatlaah

    Makanisa, Mitume na Manabii ni vizuri kutii na kuheshimu mamlaka za dunia, vinginevyo ni dhambi kupotosha watu wa Mungu mkiwa madhabahuni

    Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka. Warumi 13:1-14, iwaongoze, 13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 13:2 Kut 16:8; Tit 3:1Kwa hiyo...
  14. Just Pray

    Askofu Bagonza: Mitume 10 waliuawa kwa upanga, kamba, moto, mikuki. “UKWELI” hajawahi kuwa rafiki yetu, Iwezekane upone haraka Fr. Kitima

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. NANI ANAFUATA? Je ni hujuma? Kwa Nani? - Kwa Fr. Kitima? -Kwa Nchi yetu? Kwa Rais? Kwa Kanisa Katoliki? -Kwa Ukristo? -Kwa Chama cha Siasa? Kipi? - Kwa Wasiojulikana? -Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
  15. The redemeer

    Wafahamu mitume 12 wa Yesu na jinsi walivyokufa

    Utangulizi Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea kwa kukosa usimamizi na mapenzi wala huduma za msingi toka waanzilishi wa familia husika. Yesu...
  16. R

    Mitume wa Yesu wangerudishwa leo duniani wangehubiri huu upuuzi unaohubiriwa na mitume na walimu mamboleo?

    Wewe unaueyumbishwa na wimbi la hawa matapeli wanaojiita mitume, manabii na walimu tafakari vizuri. Mitume wale waliotembea ma Yesu wangepewa kazi warudi duniani wangekuja kuhuburi hii injili uchwara inayohubiriwa leo makanisani na redioni? Wangekuwa wanabwabwaja kwa lugha za mashetani...
  17. K

    Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  18. H

    Hizi ni fikira chanya za manabii/mitume wa Kiafrika wasiokubalika nyumbani kwao AFRIKA,tuziweke hapa:-

    BOB MARLEY:- "How can you be sitting there Telling me that you care That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In every way, in everywhere Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!) We're the survivors Yes, the Black survivors" WAKE UP AFRIKA!
  19. W

    Shekhe Ponda: Hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya watawala wao

    Shekhe Ponda amesema kuwa suala la yeye kuitwa mtata halimshangazi kwakuwa anasimamia haki na lengo lake ni kutafuta haki na ndiyo maana hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya watawala wao kwa sababu ya haki.
  20. R

    Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
Back
Top Bottom