Mpiga miti ni kijiji kinachopatikana Mkoani Lindi.
Jina la Mpiga miti lilitokana na vitendo vya ushirikiana walivyokuwa wanafanyiwa wana ndoa haswa wageni, ambapo wahalifu hao waliingia ndani ya nyumba kishirikina na Ku sex (kupiga miti) na mke wa mtu huku mumewe akiwa kalazwa sakafuni. Huja kushtuka alfajiri mume akiwa sakafuni na mke akiwa kanajisiwa.
Hata hivyo kwa sasa habari hii ni kama imebaki historia au vitendo hivyo vimepungua sana kwa ni watu wamestaarabika na dini zimesaidia.
Inashangaza kuona kwamba jina MPIGA MITI limeendelewa kupendwa huko Lindi na sasa tuna taasisi za elimu na hata dini zimepewa jina hilo.
Pengine kuna haja ya kufuta matumizi ya majina ambayo haya kuwa na historia nzuri ama hata hayana maana nzuri kwa jamii husika, kama yale ya MCHAMBA WIMA - Zanzibar na SENGE huko Tanga.