Kuna ka upepo ka Ulimbukeni ambako kanaendelea kuwapitia hawa watoto wa kike.
Kwasababu tu yupo TikTok, IG ana followers wengi n.k, tayari hujiona kichwani kwake anahitajika kuliko chochote, na hili ndio kosa kubwa.
Waschana wa aina hii, suala la Ndoa halipo kichwan kwake, na ukimuona kubali...