Hivi ni nyie ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini au wale wenye zile pendwa za msimu? Au ni wale wa Ngamiani waja leo waondoka leo? Au wale waja wenye zile ID pendwa zinazo staafu staafu kila ikiwapendeza?
Wako wapi kina Lisaboni, bia yenu, yumbe brown, au wale waliopotea ghafla?
Au tuseme...
Ijumaa Kareem!
Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya.
Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni...
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu...
Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya watu 8,000 kutoka nchi 16 zilizochaguliwa kwa sababu zilikuwa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio.
Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv.
Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo.
Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara.
Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
Wakuu!
Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
Anonymous
Thread
habari
huduma
huduma mbovu
kitengo
matatizo
mbovu
mikoani
mitandaoni
mtandaoni
rita
wao
wateja
Katika ulimwengu wa sasa wa biashara za kidigitali, ni muhimu kutambua tofauti kati ya kuweka post ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza kwa malipo (paid ads). Wajasiriamali wengi wamekuwa wakijitahidi kuweka picha nzuri, maneno yenye mvuto na hata kutoa ofa, lakini bado hawapati...
Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata.
Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma...
Habarini wadau,
Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!!
Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
Anonymous
Thread
bado
damu
kausha damu
mikopo
mikopo ya mitandaonimitandaoni
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.
Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisa
kanisa la askofu gwajima
kanisa la gwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peter kibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Anonymous
Thread
bidhaa
instagram
mitandaoni
mtandaoni
wafanyabiashara
wezi
wizi
wizi wa mtandaoni