mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?

    picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me). Yote yanaweza kuwa majibu...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu za viganjani hii haijakaa sawa

    Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Juni 30: Siku ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Day)

    Pamoja na kuunganisha watu duniani kote, Mitandao imetoa fursa kwa watu kutengeneza kipato. Siku ya Mitandao ya Kijamii inaadhimishwa kusherehekea mahusiano ambayo watu wamejenga kupitia Mitandao mbalimbali. Uwepo wa Mitandao ya Kijamii umesaidia upatikanaji wa Taarifa, umetoa fursa kwa sauti...
  4. Donray

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

    Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa. Bei maelewano...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Usitumie nywila (Password) moja kwenye mitandao yako tofauti ya kijamii

    Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama. Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na Voda!

    Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu. Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa. Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

    Wanabodi, Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi. Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia. Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu Kisha isome taarifa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ufanye ushiriki wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa salama kwako na kwa wengine

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

    Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja wanaofanya miamala kwa njia ya simu za mkononi. Aidha, ripoti hiyo ya miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba 2021 inaonysha kuwa wateja wa M-Pesa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi msg za mitandao sijui offer gani mara sijui bet ganj kina mo GSM kina SSB wanatumiwa kweli

    Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Maroboti ya kielektroniki 'misukule ya kielektroniki' ndo future ya kutawala ulimwengu wa dijitali

    Lugha hutoa fursa nyingi sana za utumiaji wa vipawa vyetu kama binadamu... Lugha huakisi akili wa yaliyomo katika bongo, fikra na hisia zetu kama biandamu... Badala ya kila mara kuweka mawazo yetu katika maneno yetu wenyewe, mara nyingi sisi huwasilisha hisia zetu kupitia maneno ya wengine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  16. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Je Oneplus 7t Pro 5g inasupport mitandao ya bongo?

    Habari za saizi, Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo? Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile . Msaada
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

    Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc Mbonele na yule mzee wa kujifanya wa Mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini buana ni za wadada wa kibongo, nakutana nazo wanajibinua binua matako wanajifanya wanafanya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa cde. Victoria Mwanziva ateta na wanafunzi kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii

    Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam) Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Enzi hizi za mitandao watu wanashindwa kabisa kutunza siri

    Siku hizi watu hawawezi kabisa kutunza siri. Kila mtu anataka aonekane anajua kitu fulani kuhusu mtu fulani. Anaona akikisema au kukishea na wengine anaona kama amekuwacool au anapata sifa. Mwambie mtu ishu ndogo tu kesho utashangaa kila mtu anajua. Haiwezekani kabisa kuwa na maongezi kama...
  20. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Back
Top Bottom