mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pierre2017

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua vocha za jumla na mimi niuze jumla kwa Dar es Salaam?

    Habari wa JF Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi naomba kupata taarifa sahihi either kwa anaefanya hii biashara au anaejua taarifa sahihi! Nawasilisha!
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  3. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  5. Mwanga Lutila

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  6. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Matapeli kwenye mitandao ya simu

    Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema. 0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
  7. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
  8. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  9. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

    Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900. Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha. Majibu ya wadau
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu? Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza? Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
  11. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Nawatetea Serikali, TCRA, Polisi na mitandao ya simu kuhusu utapeli wa "Tafadhali tuma kwa namba hii"

    Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini. Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia. Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
  12. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
  13. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Suala la vifurushi ni siasa na zinakera kwa wawekezaji

    Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama ndogo ya internet na mawasiliani kwa ujumla Africa Mashariki. Pili huwezi kulazimisha bei kwenye soko...
Back
Top Bottom