mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mtumieni Tuisila Kisinda kama kitega uchumi wenu kwa kumruhusu acheze ndondo za mitaani

    Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu Tatu na Mia Tano ( Tsh 3,500/= ) tu. Nitaishukuru wana Yanga SC wote mliopo hapa Jamiiforums...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Serikali kusambaza Askari mitaani kulinda Maamuzi ya Mahakama Kuu

    Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa na Mitambo ya Usalama ili kudhibiti majaribio yoyote ya uhalifu. Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku...
  4. JamiiForums Tanzania Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Watoto wa Mitaani ni Janga la Kitaifa

    Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo yenye...
  6. K

    JamiiForums Tanzania China yaingiza vifaru mitaani kuzuia watu wasitoe pesa Bank

    Katika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha...
  7. JamiiForums Tanzania Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  8. JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  9. JamiiForums Tanzania Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la...
  11. JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa SUA tafadhali ongezeni 'Msuli' kwa Wanafunzi wenu kwani 'Wanazagaa' mno 'Mitaani' Morogoro na 'Vichwani' ni Watupu

    Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  14. JamiiForums Tanzania Mwijaku apita mitaani kuhamasisha wananchi ujio wa Royal tour.

  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amewasaliti watanzania, hana nia na mpango wa kuig'oa CCM madarakani, anazuga mitaani akiokoteza vijisenti vya kujaza matumbo yake

    Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu. Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM? Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani. Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  17. JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, nguvu kubwa ya Simba SC iwe ni katika hamasa ya Mitaani au kuiandaa timu Kisayansi (Kiufundi) ili ishinde?

    Najiandaa kuona je, na Orlando Pirates FC nao kabla ya kucheza na Simba SC Kwao Afrika Kusini na wao watahamasisha Mashabiki wao Kuzurula hovyo Mitaani ili Kuujaza Uwanja na Washinde kwa Nyimbo za Hamasa na Tambo za Hekaya za Abunuasi?
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki yaanza kuzagaa tena mitaani

    Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida. Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…