Habari Tanzania !..
Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?..
Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu mimi:
Urefu: sentimita 185
Muonekano: Mwembamba, mweusi
Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha.
Labda usichoelewa ni kwamba katika hizo siku, mwakilishi wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Onanga-Anyanga, alikuwapo nchini...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji.
Maadhimisho haya...
Mimi sijui kirefu cha Ngome J&U ila najua ni vituo vya kuuza mafuta ya Petroli kwa vyombo vya moto (Petrol stations) vinavyopatikana kwenye maeneo/kambi ya jeshi la wananchi JWTZ yanayotazamana na barabara kuu. Inawezekana ni vituo vinavyomilikiwa na jeshi kwakuwa viko maeneo ya jeshi na vina...
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.
Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati.
Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao
Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa
Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani.
Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo?
Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil...
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja:
1. Kulinda...
Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta.
Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki.
Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.