mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

    Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam! Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini? Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa na barabara Uingereza ni mitupu baada ya watu kusimamisha shughuli zao kwenda kuangalia Timu yao taifa kuchuana na Iran kombe la dunia

    Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B. Hii imepelekea mitaa na barabara kuwa mitupu. Mechi itaanza saa 10 dakika 15 zijazo napoandika huu uzi na saa 7 mchana saa...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa tunaoishi mitaa ya changanyikeni uswahilini

    Habari ndugu wajf. Kwa ujumla maisha Yana ladha na mitindo tofautitofauti, hapa kwetu uswahili panaitwa mji mpya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Pana maisha ya kipekee Sana ukiachilia mbali mitaa kama Chamwino. Mida kama hi unakuta ndio watu wanawasha majiko kwaajili ya kuchomea kuku broiler...
  4. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
  5. JamiiForums Tanzania Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  6. JamiiForums Tanzania Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  7. JamiiForums Tanzania Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

    Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo. ===== Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu ya wananchi kususia vikao serikali za mitaa

    Wakati vumbi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 likiwa bado halijatulia, baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi nzima wanashindwa kuitisha mikutano ya kila robo mwaka kutokana na wananchi kudaiwa kuisusia. Mbali na wananchi kususia mikutano hiyo katika baadhi ya mitaa na vijiji...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefika mitaa ya California usiku huu wa manane.

    Habari za usiku huu. Naitwa shelta ni kijana mwenye ndoto ya kufika jijini America lakini usiku huu nimeota niko California na nimeridhika kabisa kwa moyo wangu wote.. Hakika ni pazur panavutia sana niko na Snop Dogi anawasalimia sana. Vijana acheni bangi mtumikieni Yesu.
  10. JamiiForums Tanzania Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

    Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
  11. JamiiForums Tanzania Gerezani Day: Gerezani wawapa mitaa wazee wao waliopigania uhuru wa Tanganyika

    GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki. Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam la sita kwa Usafi Afrika. Asema limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli

    Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street. Lakini kwasababu ya kutekeleza...
  13. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiwa mitaa ya Lisbon Ureno

    Diamond Platnumz akiwa Lizbon Ureno alikoenda kutumbuiza juzi.
  14. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

    Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini. Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
  17. JamiiForums Tanzania Mabingwa ndani ya basi special wanatamba Mitaa ya MSIMBAZI, mtaa umefurika njano na kijani halafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yao"

    Mabingwa wamefika Mitaa ya MSIMBAZI mbele ya ofisi za MAKOLO wakiwa kwenye BASI MAALUM (sio fuso za kubebea viazi), mtaa umefurika njano na kijani alafu linapigwa GOMA LA "hawaamini macho yaoooo"
  18. JamiiForums Tanzania Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri. Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020? Kama alikuwa anakubalika kwannini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…