Mitaa na barabara Uingereza ni mitupu baada ya watu kusimamisha shughuli zao kwenda kuangalia Timu yao taifa kuchuana na Iran kombe la dunia

Stress Challenger

JF-Expert Member
Feb 24, 2022
1,778
4,284
Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B.

Hii imepelekea mitaa na barabara kuwa mitupu. Mechi itaanza saa 10 dakika 15 zijazo napoandika huu uzi na saa 7 mchana saa za uingereza. Mimi niko upande na kuidhabikia Iran.

Screenshot_20221121-144741.jpg
Screenshot_20221121-144756.jpg
Screenshot_20221121-144810.jpg
 
Yaani uingereza hakuna mchezaji wa liver aliyeanza! Naomba waishie 16 Bora tu
 
Iran kachapika zote hizo hahahahaha.

Yaani wamejikusanya nchi nzima, wakasafiri halafu mechi ya kwanza wanadungwa 6'
 
Back
Top Bottom